Kuchepuka raha

Kuchepuka raha

Toka niolewe miaka mingi tu toka niolewe sijawahi hata kuwaza kuna siku ntakuja kuchepuka, nilimpenda sana mume wangu.

Tatizo mwanaume huyu amekua jipu maana sio kwa umalaya huu na majibu ya karahaa. Hajawahi kuniambia samahani na mara zote nimemkuta na ushahidi na nilichokua nahitaji ni kuniambia samahani tu.

Ila kwanza ukimkuta kwanza ananuna hata mwezi hakusemeshi, hakugusi kosa lake ila ndio anakugeuzia wewe kibao.

Nimetafakari nikaona ya nini kujitia jakamoyo na mimi natongozwa. Nimejichukulia zangu mzigo loh! Si kwa raha hizi sijui hata nilichelewaga wapi mie!

Nimejiona mjinga kweli yaani baada ya kuchepuka nimekuja kujiona bonge la mjinga kumbembelezaga na kulilia kadudu kake kumbe kabamia hata hajui kitu kumbe!

Sasa hivi tunaenda sawa tu hakuna ugomvi raha tupu, asiponigusa nashukuru, zamani ningeumia. Asiporudi nyumbani naagiza soda nakunywa.

Kwanini muuane kwa magonjwa si uombe talaka tu
Be smart dada
 
Wewe mwanamke mnafiki tu huna lolote. Maana nashangaa baada ya kuanza kuchepuka unadai mumeo KIBAMIA ili kuhalalisha uzinifu wako. Yeye ni kibamia kwa sababu wewe una RAMBO. Uziznzi ni uzinzi uwe umezini na gobole au SMG.
 
Haya chacha!!
Sasa mama mmetumbukia shimoni wote nani atamuokoa mwenzie? Hayo mambo huwa hayana mashindano, unacompete na mtu asojitambua sasa wht daz that make you?? Kuchepuka haikuwahi kuwa suluhisho mpendwa, stuka mapema kabla haijawa too late. Jiulize mara mia mia is that the right way kudeal na hilo tatizo la mumeo?

Mtaja pata magonjwa muishie kuwatesa watoto wasio na hatia. Tafakari tafakari tafakari tafakari mama.
Aah bi mkubwa tulia kidogo bana. Teh naona wameamua wote kuishi shimoni
 
Angekua ni mwanaume, ungemuona rijali kwa kuchepuka kisa mwanamke povu, kunywa maji Kaka
Huyo mke wa leo hii unaemfungashia viroba ni mkoma au????
Na kwa taarifa yao kama anachepuka ajue it's just a matter of time tu naye atachepuka au anachepuka
 
Shetani yuko kazini kuharibu ndoa. Wewe na mme wako mnachofanya ni hasara kwa nafsi zenu na watoto wenu. Msipotubu maisha yenu ni mafupi sana na nani mtamwachia yatima.
 
Back
Top Bottom