Kuchepuka raha

Kuchepuka raha

Wengi tumekengeuka, ila trust "wapo".
Aaaah wapi, 99.99% lazima wachunguliane. I wouldn't marry a woman before seeing her punani asee, hiki ni kizazi kingine kabisa.
 
Kwa upande wako huu mjadala uko in favour of you na itakuwa ngumu kukubadilisha mtizamo wako sababu ni lazima utatafuta tu kasoro chache zilizoko kwenye ndoa yako kujitafutia sababu ya kuchepuka..

Labda nikuulize tu, ni nini hasa kilikufanya wewe uchepuke? mchepuko wako ni main mchepuko au unachagua anayekuja vizuri basi mnafanya yenu? Sorry maswali yangu yanaweza yakawa magumu kidogo..

Hizi story za mimi kuchepuka nashindwa kuzielewa!!! Vita dhidi ya madawa ya kulevya ni ngumu sana
.
.
Siwezi kujibu hayo maswali mkuu Subiri siku nilete mada inayohusu uchepukaji wangu!
#MchepukoSioDealBakiNjiaKuu#
 
Hizi story za mimi kuchepuka nashindwa kuzielewa!!! Vita dhidi ya madawa ya kulevya ni ngumu sana
.
.
Siwezi kujibu hayo maswali mkuu Subiri siku nilete mada inayohusu uchepukaji wangu!
#MchepukoSioDealBakiNjiaKuu#
Hahaa demi you nuts, eti vita ya madawa ya kulevya
 
Angalia msije mkauana sasa ivi maradhi ni mengi mno.... Ila mwanaume hata kama ni mchepukaji huwa hataki Mali yake iliwe na wengine kuwa makini
Huu ni unyanyasaji sasa,haiwezekan kuchepuka iwe sawa kwake tuu,bora saivi ngoma droo .
 
Back
Top Bottom