Ni kweli. Ukihubiri watu wote waache michepuko tutakuelewa. Wanaoshangaa mwanamke kuchepuka ndio hatuwaelewiMtu anayemuogopa mungu awezi kukubali kumuasi mungu kwaajili ya kufurahisha nafsi yake awe mwanaume au mwanamke
Toka niolewe miaka mingi tu toka niolewe sijawahi hata kuwaza kuna siku ntakuja kuchepuka, nilimpenda sana mume wangu.
Tatizo mwanaume huyu amekua jipu maana sio kwa umalaya huu na majibu ya karahaa. Hajawahi kuniambia samahani na mara zote nimemkuta na ushahidi na nilichokua nahitaji ni kuniambia samahani tu.
Ila kwanza ukimkuta kwanza ananuna hata mwezi hakusemeshi, hakugusi kosa lake ila ndio anakugeuzia wewe kibao.
Nimetafakari nikaona ya nini kujitia jakamoyo na mimi natongozwa. Nimejichukulia zangu mzigo loh! Si kwa raha hizi sijui hata nilichelewaga wapi mie!
Nimejiona mjinga kweli yaani baada ya kuchepuka nimekuja kujiona bonge la mjinga kumbembelezaga na kulilia kadudu kake kumbe kabamia hata hajui kitu kumbe!
Sasa hivi tunaenda sawa tu hakuna ugomvi raha tupu, asiponigusa nashukuru, zamani ningeumia. Asiporudi nyumbani naagiza soda nakunywa.
😀😀😀wanaume hapa wanakupinga sana,kisa umefanya wewe mwanamke ila angekua mwanaume mwenzao ndo kafanya hivi wangempongeza na kumwona mjanja.....
mama just do what makes you happy katika maisha yako ila tu uwe makini na magonjwa,yani kabinadam kamoja ndo kakukoseshe amani mtoto wa watu loh...u deserve better mama...
Heaven Sent njoo uone raha huku
Nakuona nakuona mwenyekitiKwenye haya maisha ukitemtegemea mtu awe chanzo cha furaha yako utaishia kupata stress tu utaishia kulia na mto tu......
Kila mtu anapenda kupendwa, anapenda kujaliwa,
Bad news wanaume mnajisahau mno mapenzi na kujali kwenu ni kwa washkaji wa whatsapp!!!
Good news kuna wanaume wenzenu wanaona hayo na kuchukua nafasi....
kisia we jipe raha as long as unapata amani ya moyo, usisahau Kinga
Koh Koh [HASHTAG]#nasubirikesi[/HASHTAG] [HASHTAG]#kamatiyarohombaya[/HASHTAG]
Kweli kabisa ,ukiona mwanamke amechepuka ujue yamemfika,Mimi nilikuwa mwaminifu sana na ninampenda mno Mme Wang ila kila akitoka masomo yuko mkoa mwingne anaweza kaa miezi 3 hata 4 namvulia cku akirudi hana mda anakwambia nmechoka ilifikia hatua akirud nalilia mapenz kutokana na ile hamu ya kumvumilia lkn hakujali hisia zangu ,yan Mimi ndo nashida ya mapenz yeye wala nilivulia sana sababu nilikuwa na hofu na mungu na upendo nilionao kwa Mume ilifikia mda nikachoka,nikaamua kuwa na mchepuko kiukwel hata simu zake niliona kero akipiga,akisema kakata ticket anarud nikamjibu hata usiporud in shot nilikuwa najikuta namjibu ovyo siku alipoingia ndan ndo kwanza sins hata habar nae na mgongo nikampa kitu ambacho alikiona kigen kazoea akirud nalilia dudu ndo nipewe kwa kutoa machoz nilimjibu nko vizr hivyo apumzike, kiukwel nilinogewa nje na aliniambia nmebadilika nikamjibu kwa jeuri umenibadilisha wewe,alikir makosa sababu alijua mkewe hayuko ivo na toka hapo hakuweza nisumbua aliongeza mapenz na upendo na ndo alizid nipagawisha zaid, kwa kuwa ckupenda kuchepuka na amejutia kosa nikaongea na mchepuko narud kwa ndoa yng na mpaka Leo nko vzr na ndoa yang,niseme tu wanaume sio wote mnajisahau sasa ukiona make nae haelewek ndo unastuka jaribun kurud kwa mstar ,hii inafanya weng wenu kulea watoto wasio WA kwenu kwa mambo km hayoNi kweli unayosema.
.
.Asikwambie mtu wanawake wengi wanapoingia kwenye ndoa wanakuwa ni waaminifu sana na huwa wanajitahidi sana kutokuchepuka. Anaweza akawa anapata shida mume hamjali, ana michepuko anampiga lkn bado ataendelea kuwa mwaminifu.
.
.
Ukiona kachepuka ujue yamemzidia sana. Anachepuka ili kupata relief, mume hamsifii wala hamjali, akipata wa kumjali kidogo lazima achepuke. Mwanamke na yy ni binadamu anazo hisia.
Toka niolewe miaka mingi tu toka niolewe sijawahi hata kuwaza kuna siku ntakuja kuchepuka, nilimpenda sana mume wangu.
Tatizo mwanaume huyu amekua jipu maana sio kwa umalaya huu na majibu ya karahaa. Hajawahi kuniambia samahani na mara zote nimemkuta na ushahidi na nilichokua nahitaji ni kuniambia samahani tu.
Ila kwanza ukimkuta kwanza ananuna hata mwezi hakusemeshi, hakugusi kosa lake ila ndio anakugeuzia wewe kibao.
Nimetafakari nikaona ya nini kujitia jakamoyo na mimi natongozwa. Nimejichukulia zangu mzigo loh! Si kwa raha hizi sijui hata nilichelewaga wapi mie!
Nimejiona mjinga kweli yaani baada ya kuchepuka nimekuja kujiona bonge la mjinga kumbembelezaga na kulilia kadudu kake kumbe kabamia hata hajui kitu kumbe!
Sasa hivi tunaenda sawa tu hakuna ugomvi raha tupu, asiponigusa nashukuru, zamani ningeumia. Asiporudi nyumbani naagiza soda nakunywa.
Ndoa tamu we oa ila ukijua we mzinifu kiukwel utaharibu furaha ya mkeo na akichoka majibu utayapata kwa vitendo ,ukiona ndoa ngumu ujue kuna mapishano ,upendo hakuna furaha imetoweka ,ukiweza kutunza furaha ya mke na Mume akatunza ya mmewe ndoa tamu sanaHivi ni nani atakuwa mbabe wa hiyo vita!!! Nauliza tu!
Wakuu mimi bado najiuliza swali moja tu hasa nikiona maada kama hizi,
Hivi mimi siku nikiamua kwamba leo sasa naoa hivi maisha na familia yangu yataendaje!! Maana ninayoshuhudia humu bado kuchukua maamzi ya kuwa na mke yanakuwa magumu?
Bora wewe umetoa ushuhuda. Yaani hapo mume alitegemea uendelee kulia ukose raha..wanaume hawajui ni jinsi gani tunapenda amani ndani ya ndoa. Tunavumilia sana lkn tunachoka pia. Uvumilivu hautadumu milele!Kweli kabisa ,ukiona mwanamke amechepuka ujue yamemfika,Mimi nilikuwa mwaminifu sana na ninampenda mno Mme Wang ila kila akitoka masomo yuko mkoa mwingne anaweza kaa miezi 3 hata 4 namvulia cku akirudi hana mda anakwambia nmechoka ilifikia hatua akirud nalilia mapenz kutokana na ile hamu ya kumvumilia lkn hakujali hisia zangu ,yan Mimi ndo nashida ya mapenz yeye wala nilivulia sana sababu nilikuwa na hofu na mungu na upendo nilionao kwa Mume ilifikia mda nikachoka,nikaamua kuwa na mchepuko kiukwel hata simu zake niliona kero akipiga,akisema kakata ticket anarud nikamjibu hata usiporud in shot nilikuwa najikuta namjibu ovyo siku alipoingia ndan ndo kwanza sins hata habar nae na mgongo nikampa kitu ambacho alikiona kigen kazoea akirud nalilia dudu ndo nipewe kwa kutoa machoz nilimjibu nko vizr hivyo apumzike, kiukwel nilinogewa nje na aliniambia nmebadilika nikamjibu kwa jeuri umenibadilisha wewe,alikir makosa sababu alijua mkewe hayuko ivo na toka hapo hakuweza nisumbua aliongeza mapenz na upendo na ndo alizid nipagawisha zaid, kwa kuwa ckupenda kuchepuka na amejutia kosa nikaongea na mchepuko narud kwa ndoa yng na mpaka Leo nko vzr na ndoa yang,niseme tu wanaume sio wote mnajisahau sasa ukiona make nae haelewek ndo unastuka jaribun kurud kwa mstar ,hii inafanya weng wenu kulea watoto wasio WA kwenu kwa mambo km hayo
Haha asiporudi unaagiza kabisa na balimi, raha jipe mwenyeweee. teh mtu akikuchoka eti " kadudu kake"