Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,466
- 13,031
Hahahaaaa!! Nilikuwa sijasoma comments ujue!! Kumekuchaaa!!
Haha, umeona mapovu kutoka kipande ile...lol
Hahahaaaa!! Nilikuwa sijasoma comments ujue!! Kumekuchaaa!!
Umeonae hahaaa!Yaani leo kschepuka mwanamke ni mwendo wa mawaidha tu.....
Nyie mmeshindikana aiseee! haya machambo gani sasa?Hahaha!, mmepatikana Leo mbona!

Mkuu hata wewe...hutuonei huruma?Vumilia tu .... dunia ishavaa pensi hii
Haha yani nacheka leoYaani leo kschepuka mwanamke ni mwendo wa mawaidha tu.....
Hata mwanaume anayeelewa nafasi yake katika familia, anaipenda kuijali na kuiheshimu familia yake, anayemuheshimu Mungu na kiapo chake cha ndoa; hutomuona akijiendekeza kuchepuka wala kumkandamiza mwanamke kwa sababu anajua mwisho wa siku, duniani tunapita tu makao yetu ni mbinguni. Yupo busy kutengeneza maisha yake na Mungu kwa sababu ndo kusudi lake duniani na Kumcha Mungu hakuna jinsia. Na wanaume wa hivi are at the verge of extinction kabisa. Amri kumi zimeandikwa kwetu sote, sijaona dhambi iliyoandikwa "hii wanaume hata mkifanya si vibaya sana kama kwa mwanamke".
Umeongea kwa uchungu sana. Pole!
Yaani hii mada imekuwa na mpambano kwa sababu moja tu.. wanaume wameanza kumponda walivyoona mke anataka kuchepuka...wakaongea as if mke hapaswi kuchepuka.
.
.
Tunashangaa why asiweze kuchepuka na yeye ni binadamu?
Why men kila siku mwenzao akitoa mada za kutendwa na mke majibu anayopata ni kama haya..
mtafutie mwenzake huyo atatulia, bro kwani wanawake wameisha?
![]()
Na wanaenda mbali kabisa kupeana mbinu za kuchepuka ili wasikamatwe. Huwa tunawaangalia tu hatutii neno. Mmeshajustify kuwa michepuko ni sehemu ya miili yenu..
.
.
Hatushabikii huyo dada kuchepuka la hasha! Ila akiona sawa na achepuke tu. Mbona ni kawaida? Tumeshazoea michepuko kutoka kwenu, wengine tunaishi tukijua kabisa mume ana mchepuko yaani mpk jina unaujua na mume hakuonei hata chembe ya huruma. Sasa kwa hali hiyo utaniambiaje mimi nizuie hisia zangu kwa wanaume wengine wanaonitamani au kunipenda?
Maudhi yakizidi mapenzi yanaisha hata hisia zinaisha ubabe wanaume kuhisi sisi wanawake akisha kuzalisha basi huna thamani kumbe huko nje watu wanakuliliaNadhani umefurahia tendo la ndoa si kwamba huyo mwanaume mpya anajua kufanya mapenzi no but ni vile upo na simanzi ukipata jawabu sahihi utarudi kwa mumeo, hujiulizi kwanini kabla ya malumbano na mumeo ulikuwa unafurahia mapenzi na mumeo? Nway kila lakher katika mahusiano ya memory card
Unadhani tunashindana sasa!! Walaaa.mnashindana na nature cc tumeumbwa hiv tulivyo
Wapo. Kama mtoa mada!
.
.
Si ni lazima msichana ajitunze mpaka siku ya ndoa? Kama vile ambavyo mke hatakiwi kuchepuka?

Mahari sio kitu cha muhimu ni kumdhamini mwenzio ukishamuona kazaa unaona hana pa kwendaUsitafute usawa kwa sababu wazazi wako walipokea Mali,wazazi wa mume wako hawakupokea mali
...ndio hivyo, kudharauliwa. Hasa when my manhood is contempted....aaah!!
Wanachepukaga na wanaume wenzao labda.[/QUOTE]Really? Ni aibu how? Nani anayeona hiyo aibu?
Mwanaume anapochepuka anachepuka na hiyo aibu unayoizungumzia. Yaani upo busy kumgegeda mwanamke ambaye mwisho wa siku unatambua kabisa aibu anapata yeye? Au huwa mnachepuka na viumbe gani labda?
Wacha we!! Mmebadili msimamo tena!! Yaani mnajitekenya na kucheka wenyewe!!!
Si ndio hapo sasa!!Kamkomoa wapi wakati na yeye kaenda kupata utamu????
Yaani afumaniwe...haombi msamaha... akatae kutoa dushelele halafu useme mkewe kafanya kumkomoa????
Ukimkamata ni kumuachaNa mwanamke anayezini je?
Vita ya madawa ya kulevya ni ngumu sana, kamwe haiwezi kuuacha salama.Ulijua nitakosa maneno ya kusema sio??

Ni shetani tu anakuwa kampitia kidogo tu akajikwaa.Na mwanamke anayezini je?
Kama huwezi kumuacha unafanyaje?Ukimkamata ni kumuacha