Inauma eeeeh! Sukumizia na maji.Nyekundu haiwezi kuwa njano...we kama mwanamke unaeelewa nafasi yako katika familia....ukilipiza kuchepuka kwa kuchepuka...unaharibu zaidi kuliko ungevumumilia...hamna alternative nyingine hadi na wewe uchepuke na ujisifie...bt anyways nadhani type ya mwanamke naemuongelea mimi wamekuwa like endangered species..nyinyi wetu wa sasa ni jino kwa jino...
Hata mwanaume anayeelewa nafasi yake katika familia, anaipenda kuijali na kuiheshimu familia yake, anayemuheshimu Mungu na kiapo chake cha ndoa; hutomuona akijiendekeza kuchepuka wala kumkandamiza mwanamke kwa sababu anajua mwisho wa siku, duniani tunapita tu makao yetu ni mbinguni. Yupo busy kutengeneza maisha yake na Mungu kwa sababu ndo kusudi lake duniani na Kumcha Mungu hakuna jinsia. Na wanaume wa hivi are at the verge of extinction kabisa. Amri kumi zimeandikwa kwetu sote, sijaona dhambi iliyoandikwa "hii wanaume hata mkifanya si vibaya sana kama kwa mwanamke".Nyekundu haiwezi kuwa njano...we kama mwanamke unaeelewa nafasi yako katika familia....ukilipiza kuchepuka kwa kuchepuka...unaharibu zaidi kuliko ungevumumilia...hamna alternative nyingine hadi na wewe uchepuke na ujisifie...bt anyways nadhani type ya mwanamke naemuongelea mimi wamekuwa like endangered species..nyinyi wetu wa sasa ni jino kwa jino...
Haha mkachukue training ya kutusafisha kuchaNa nyie nasikia mnaanzia kusafishana kucha huko salon akiona anasugua kucha vizuri mnapeana namba mwisho wa siku mnaishia kama hivi..
![]()
Siyo suluhu lakini inapunguza maumivuHaya bwana, naona mnahalalisha kutoka nje ya ndoa zenu kiaina hapa. Mmechoka kuvumilia huku mkibaki mnalia na majonzi kila siku.
Japo sidhani kama revenge ya kingono kwa wanandoa ni suluhisho, nyie endeleeni tu mimi![]()
Nyie mkichepuka huwa mnatusingizia, kwahiyo acha tu nasie tuwasingizie. Leo imepenyaaa hadi kwenye mifupa eeeh!!nashukuru kuwa ww upo positive kdg.
naomba nikuhakikishie kuwa nimeelewa mada vzr.
Hapa tunaongea na mtu ambaye amechepuka baada ya mumewe kuchepuka/kumkwaza/kufilisika/kupoteza kazi/kuumwa/kupata udhaifu fulani.
narudia tena, anayempongeza huyu dada anashadadia asichokijua..., ni lini tumerekebisha kosa kwa kosa? kwamba hapa ndo mnasemaje sasa? kwamba kwanini mume alikosea? ndiyo amekosea, suluhu yake ipi? mwache basi ukaolewe na huyo unayetaka kuchepuka naye...
hata ukiulizwa mbn umefanya makosa? utajibu kwa sababu ww ulifanya?
hivi mpo kwenye akili zenu jamn?
Vitembezeni tu kwa sababu zenu msitafute kiki kwa kutusingizia
Hahaa umenunaaaanashukuru kuwa ww upo positive kdg.
naomba nikuhakikishie kuwa nimeelewa mada vzr.
Hapa tunaongea na mtu ambaye amechepuka baada ya mumewe kuchepuka/kumkwaza/kufilisika/kupoteza kazi/kuumwa/kupata udhaifu fulani.
narudia tena, anayempongeza huyu dada anashadadia asichokijua..., ni lini tumerekebisha kosa kwa kosa? kwamba hapa ndo mnasemaje sasa? kwamba kwanini mume alikosea? ndiyo amekosea, suluhu yake ipi? mwache basi ukaolewe na huyo unayetaka kuchepuka naye...
hata ukiulizwa mbn umefanya makosa? utajibu kwa sababu ww ulifanya?
hivi mpo kwenye akili zenu jamn?
Vitembezeni tu kwa sababu zenu msitafute kiki kwa kutusingizia
Weee imemkaba kabisa shingoniInauma eeeeh! Sukumizia na maji.
Na nyie mchukue training ya kutuhudumia tukiwa hapo living room tujihisi kama tupo bar..Haha mkachukue training ya kutusafisha kucha
Hii nayo mpya!! Ukiropoka ropoka mambo ya ndoa unapata UKIMWI!! Basi wanaume wa humu karibia wote wanao kama ndio hivyo!!Utafiti unaonyesha moja ya dalili za kupata maambukizi ya ukimwi ni kuropoka ropoka mambo ya ndoa ikiwa umeoa au kuolewa.nakushauri ukapime ujijue mapeema wewe na basha wako.
Huu ushauri mbona huwa hamtoi akija dume mwenzenu?Ndo maana ukiwa kwenye ndoa unaheshimika. Sio penzi tu.
Mweke kwenye mstari. Kuchepuka sio solution
Umeongea kwa uchungu sana. Pole!mheshimiwa, hawa wanawake wanaotetea hawana lolote isipokuwa wanataka tu kujustify ufuska.
naomba mnielewe pia kuwa sitetei mwanaume kuchepuka na kumtesa mkewe kwa namna yoyote ile.
tuache ideal situations tuje kwenye uhalisia sasa.
mwanamke huyu huyu akiwa na mwanaume fukara, atasema mwanaume suruali huyu, atachepuka kwa kigezo hicho hicho. Akiwa hana shida za kifinancial atachepuka kwa maneno anayoyasikia saloon, ati kuna mihogo sijui kuna kunyonywa sijui hivi na vile ili mradi tu, atajidai hajatoka kwao kushiba tu.
Haya kuchepuka kwa sababu za kulipiza is worst revenge ever, zipo namna za kumpin mtu aliyechepuka.., achana naye basi tuone umekasirika sana. unaiabisha familia yako kwa mambo ya kijinga namna hiyo.
ni ukweli usiopingika hata kwenye Biblia na Quran kuwa wanaume tuna aina flani ya mapungufu, kama hamtaki kukubali hili mwulizeni Mungu mwenyewe arudie kazi hii.
Haya mmesema mwanaume anahusika mke kuchepuka, je mke hawezi kuwa ndo sababu ya kuchepuka huko?
mbn msimsaidie mleta mada kwa kuweka mambo yao sawa, badala yake mnampongeza?
Sijui hata naandika nn, nahisi nimepanic....
Sijahangisheni kutafuta faraja ya kudumu siyo faraja feki...,
Ni aibu sana mwanamke kuliko mwanamume kuchepuka, kwa sababu yoyote ile, MWANAMKE AKICHEPUKA NITAITA KUTELEZA ILA MWANAMKE AKIFANYA HIVYO ITAKUWA NI ANGUKO
Leo nimegundua wanawake wenye akili mko wachache sana nchi hii.Haya chacha!!![]()
![]()
Sasa mama mmetumbukia shimoni wote nani atamuokoa mwenzie? Hayo mambo huwa hayana mashindano, unacompete na mtu asojitambua sasa wht daz that make you?? Kuchepuka haikuwahi kuwa suluhisho mpendwa, stuka mapema kabla haijawa too late. Jiulize mara mia mia is that the right way kudeal na hilo tatizo la mumeo?
Mtaja pata magonjwa muishie kuwatesa watoto wasio na hatia. Tafakari tafakari tafakari tafakari mama.
Toka niolewe miaka mingi tu toka niolewe sijawahi hata kuwaza kuna siku ntakuja kuchepuka, nilimpenda sana mume wangu.
Tatizo mwanaume huyu amekua jipu maana sio kwa umalaya huu na majibu ya karahaa. Hajawahi kuniambia samahani na mara zote nimemkuta na ushahidi na nilichokua nahitaji ni kuniambia samahani tu.
Ila kwanza ukimkuta kwanza ananuna hata mwezi hakusemeshi, hakugusi kosa lake ila ndio anakugeuzia wewe kibao.
Nimetafakari nikaona ya nini kujitia jakamoyo na mimi natongozwa. Nimejichukulia zangu mzigo loh! Si kwa raha hizi sijui hata nilichelewaga wapi mie!
Nimejiona mjinga kweli yaani baada ya kuchepuka nimekuja kujiona bonge la mjinga kumbembelezaga na kulilia kadudu kake kumbe kabamia hata hajui kitu kumbe!
Sasa hivi tunaenda sawa tu hakuna ugomvi raha tupu, asiponigusa nashukuru, zamani ningeumia. Asiporudi nyumbani naagiza soda nakunywa.
Weee imemkaba kabisa shingoni
Eti eeeh!!Dah, inauma sana!!
Teh brod darlin nakusalimiaDah, inauma sana!!