Kuchepuka raha

Kuchepuka raha

Sio utani ujue!! Hivi wewe shetani unamjua au unamsikia sikia tu!!!
hakyanane utakuja naye athibitishe kama kweli alihusika.

btw ukichepuka ndo mkataba unaisha, mi naingia zangu fb najichagulia kondoo mwingine, najua nitakuta weeengi wamepiga picha kwa kuangalia kule.

dhambi ya mke kuchepuka tutaenda kusameheana mbele ya Mungu mwenyewe
 
Sasa kwa taarifa yako wale wazee waliokuwa wanabaki kule walikuwa wanapiga kwa kisingizio wanatafuta mtoto wa chungu
Kwahiyo kumbe haya mambo yalikuwepo, na sio yametokea tu kwenye generation yetu.. Lakini pamoja na yote hayo waliweza kutunza ndoa zao na leo wanaishi maisha yao ya uzee kwa furaha..
 
Kwahiyo kumbe haya mambo yalikuwepo, na sio yametokea tu kwenye generation yetu.. Lakini pamoja na yote hayo waliweza kutunza ndoa zao na leo wanaishi maisha yao ya uzee kwa furaha..
Walifanya kwa siri siku hizi simu ndiyo zina haribu
 
hakyanane utakuja naye athibitishe kama kweli alihusika.

btw ukichepuka ndo mkataba unaisha, mi naingia zangu fb najichagulia kondoo mwingine, najua nitakuta weeengi wamepiga picha kwa kuangalia kule.

dhambi ya mke kuchepuka tutaenda kusameheana mbele ya Mungu mwenyewe
Kwani kule kuombeana kunaishia wapi tena mpendwa? We piga goti, ombea mkeo hadi ajirudi. Mungu anatenda miujiza, na alisema alichokiunganisha...... Sasa ole wako ukitenganishe na facebook yako!!
 
Tuendelee na main mjadala
Kwa upande wako huu mjadala uko in favour of you na itakuwa ngumu kukubadilisha mtizamo wako sababu ni lazima utatafuta tu kasoro chache zilizoko kwenye ndoa yako kujitafutia sababu ya kuchepuka..

Labda nikuulize tu, ni nini hasa kilikufanya wewe uchepuke? mchepuko wako ni main mchepuko au unachagua anayekuja vizuri basi mnafanya yenu? Sorry maswali yangu yanaweza yakawa magumu kidogo..
 
...tena eti jamaa na kibamia chake, huyu dada kwani hakujua kuwa jamaa ana mbilimbi kabla ya kuolewa..Dah, huyu jamaa kadhalilishwa live online aisee.

Eli kumbe bado unaitafakari mada!! Hizi ndio shida za kuchepuka,ukikutana na kitu matata zaidi dharau zinaanza.
 
...tena eti jamaa na kibamia chake, huyu dada kwani hakujua kuwa jamaa ana mbilimbi kabla ya kuolewa..Dah, huyu jamaa kadhalilishwa live online aisee.
Hakuruhusiwa kufanya tendo la ndoa kabla ya ndoa!
 
Back
Top Bottom