MADAM T
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 6,220
- 3,917
Kwa mara ya kwanza naona ukimwi umekumbukwa kwa wingi kwa thread inayohusiana na kuchepuka.UKIMWI KARAHAAA!!!
Wanaumeeeeee!
Kwa mara ya kwanza naona ukimwi umekumbukwa kwa wingi kwa thread inayohusiana na kuchepuka.UKIMWI KARAHAAA!!!
kinanga komoooo...!!!! sisi tunaupendo sana. Tunaweza kuwapenda hata wanawake 10 kwa mara moja.Cha msingi ni kupata alichokuwa anataka, iwe wamekanyaga/gwa/gana hizo zinabaki kuwa terms tu.
Muachage ubinafsi, acheni na wenzenu wapate faraja mloshindwa kuwapa mkaenda kuitoa nje, haya sema sawa!!!
Tusaidiane kujenga si me naweka tofauli halafu we unajitoa ufahamu unakuja na nyundo unavunja ukiulizwa unakuwa mkali aisee kama vipi tushike nyundo wotehabari ya siku? uko salama? kunywa maji kdg afu twende sawa kdg.
Mi sijahalalisha chochote hapa.
Ila wenzenu tumeumbwa wadhaifu kdg kuliko nyie, nyie mmejaaliwa uvumilivu kdg... mtusitiri basi!!!., tujenge wala tusibomoe
Kwahiyo hiyo ni kwa wezi wa kiume tu au na wakike pia?HIVI MNAJUA WEZI WALIVYO HAWANA ADABU???
yaani hata mwanamke akisema Toshaaaa hawezi akasikia (atakuwa tu anajisemea moyoni Usingekileta huku nje)
Wanawake tena wengine wake za watu ha ha ha ha swali zuriMi najiuliza huwa wanachepuka na kina nani hawa watu!
Me najitahidi kweli kuwafundisha, ila sijawahi kupata positive responseNot all lakini wengi wetu tunatoa room ya kujifunza ni vile tu mnakuwa mna wasiwasi wa kutufundisha..
demi itakuwa hujaomba kisawa sawa au muda bado.. Wewe endelea kupiga goti lazima atabadilika tu heheheheMnapenda kutuona tukilia eeh?
.
.
Mtu una muombea kwa kujifungia war room mpk kwenye madroo tunajifungia kuwaombea miaka na miaka hambadiliki! Labda hatujui kuomba!
Subiri page zikifika 100 ndio tutarudi kundini bwana.Read between the lines.
No one is supporting her, ila tunaamini kupitia hii thread kuna vitu vikubwa mmejifunza
1. Unavyoumia mkeo kuchepuka (just a thought of it), ndivyo mkeo anavyoumia na wewe unavyochepuka, tena nyie mnaona fahari kabisa. Mnawaumiza wake zenu sanaaa
2. Stop ignoring your wives. Hiyo attention mnayowapa vimada vyenu huko nje na starehe zenu zisizo na msingi, irudisheni kwa familia zenu
3. No one was born faithful naturally. Hata sisi tunatamani sana wanaume wengine ila tunaamua kuzikana tamaa zetu na kustick na waume wa Ujana wetu (tumeamua kuridhika). Ila nyie sasa mmh
hivi ulikuwa wapi na hizi akili? tukae chini tuyarekenishe, siyo nawe ujitie kimbele mbele kukitembeza huko.Tusaidiane kujenga si me naweka tofauli halafu we unajitoa ufahamu unakuja na nyundo unavunja ukiulizwa unakuwa mkali aisee kama vipi tushike nyundo wote
demi itakuwa hujaomba kisawa sawa au muda bado.. Wewe endelea kupiga goti lazima atabadilika tu heheheheMnapenda kutuona tukilia eeh?
.
.
Mtu una muombea kwa kujifungia war room mpk kwenye madroo tunajifungia kuwaombea miaka na miaka hambadiliki! Labda hatujui kuomba!
Usijali, mwisho wa siku si ukirudi nyumbani unamkuta, tena na naniliu yake iko pale pale wala haijahama. So wory not, hawaibebi. Sawa mtoto mzuri eeh?Hawa Wabeijing hawaaaa.. Nuksi sana. Ndio story zao huko salon kwao hawa.![]()
Haha haya Nimerudi kwenye stepsSubiri page zikifika 100 ndio tutarudi kundini bwana.
Leo ni woman of a person maana hana list huyu, ila nashangaa watu wanataka kummeza.Nawaona nawaonaa![]()
nmehamishia ligi huku
demi itakuwa hujaomba kisawa sawa au muda bado.. Wewe endelea kupiga goti lazima atabadilika tu heheheheMnapenda kutuona tukilia eeh?
.
.
Mtu una muombea kwa kujifungia war room mpk kwenye madroo tunajifungia kuwaombea miaka na miaka hambadiliki! Labda hatujui kuomba!
Hahaa nashangaa supporters wa MOTP leo wamegeukaLeo ni woman of a person maana hana list huyu, ila nashangaa watu wanataka kummeza.
Sie huwa zina kijiko eti eeeh!! Huruma hiyo tena vipiii!! Tulia tu, huruma itakuja baadae kama vile yenu inavyokujaga mkifikisha miaka 79.Heaven Sent tuoneeni huruma.. Aseee hizi mambo zinauma ujue.
Aya sasa!!Wewe mwanamke mnafiki tu huna lolote. Maana nashangaa baada ya kuanza kuchepuka unadai mumeo KIBAMIA ili kuhalalisha uzinifu wako. Yeye ni kibamia kwa sababu wewe una RAMBO. Uziznzi ni uzinzi uwe umezini na gobole au SMG.