Kuchepuka raha

Kuchepuka raha

Mchepuko haujakutia mimba? Kama hujapata mimba je, ikitokea mchepuko ukikupa mimba utamwambia mumeo au utambambikizia watoto wa mchepuko wako?
Kitanda hakizai haramu
 
Lakini unaweza kuta mama yako alifanya hivyo ujue..

CC Heaven Sent
Mama yangu na mimi ni watu wawili tofauti kabisa.
.
.Speaking about my mom...alishaniambia kuwa hajawahi kupata stress kwenye ndoa yake, ni vimatatizo vidogo vidogo vya kawaida sana. Pia hakubaliani na upuuzi wa wanaume tena mimi ni mvumilivu huwa anashangaa nawezaje! I wish angejoin kuchangia hii mada!
 
Toka niolewe miaka mingi tu toka niolewe sijawahi hata kuwaza kuna siku ntakuja kuchepuka, nilimpenda sana mume wangu.

Tatizo mwanaume huyu amekua jipu maana sio kwa umalaya huu na majibu ya karahaa. Hajawahi kuniambia samahani na mara zote nimemkuta na ushahidi na nilichokua nahitaji ni kuniambia samahani tu.

Ila kwanza ukimkuta kwanza ananuna hata mwezi hakusemeshi, hakugusi kosa lake ila ndio anakugeuzia wewe kibao.

Nimetafakari nikaona ya nini kujitia jakamoyo na mimi natongozwa. Nimejichukulia zangu mzigo loh! Si kwa raha hizi sijui hata nilichelewaga wapi mie!

Nimejiona mjinga kweli yaani baada ya kuchepuka nimekuja kujiona bonge la mjinga kumbembelezaga na kulilia kadudu kake kumbe kabamia hata hajui kitu kumbe!

Sasa hivi tunaenda sawa tu hakuna ugomvi raha tupu, asiponigusa nashukuru, zamani ningeumia. Asiporudi nyumbani naagiza soda nakunywa.
Dini , kabila , uko
Hapa Tanzania sijui kama hilo ni sawa

Utakuja na kilio kibaya sana nimeshuhudia mambo kama hayo

Hakuna kisasi cha mapenzi
 
Mama yangu na mimi ni watu wawili tofauti kabisa.
.
.Speaking about my mom...alishaniambia kuwa hajawahi kupata stress kwenye ndoa yake, ni vimatatizo vidogo vidogo vya kawaida sana. Pia hakubaliani na upuuzi wa wanaume tena mimi ni mvumilivu huwa anashangaa nawezaje! I wish angejoin kuchangia hii mada!
I adore your mommy
 
kumkomoa mtu kwa kutoa mwili wako utumike huo ni ujinga ambao nyie wanawake mnadhidi kuprove uwezo wenu c mzuri ............
ni mawazo tu lkn
Hatukomoi, ni kupata tu starehe kama ambavyo huwa mnaipata.
 
Mama yangu na mimi ni watu wawili tofauti kabisa.
.
.Speaking about my mom...alishaniambia kuwa hajawahi kupata stress kwenye ndoa yake, ni vimatatizo vidogo vidogo vya kawaida sana. Pia hakubaliani na upuuzi wa wanaume tena mimi ni mvumilivu huwa anashangaa nawezaje! I wish angejoin kuchangia hii mada!
Kwahiyo pamoja na hayo matatizo yako madogo madogo (which I'm sure sio makubwa) ulishawahi kuchepuka?
 
Back
Top Bottom