Mwana kondoo
Senior Member
- May 21, 2017
- 180
- 177
Unauliza swali hilo kwa mamlaka ya nani?We ni Mwana kondoo au ni kondoo?
Unauliza swali hilo kwa mamlaka ya nani?We ni Mwana kondoo au ni kondoo?
Eeh uwe mpya mpya kweli na Mungu akusimamieMnisamehe 7*70. Lakini kupitia kwa comments zenu wengine tumeyajua makwazo tuyasababishayo juu ya wake zetu,pia nimejifunza mengi sana jinsi ya kukaa kamati na mke wangu. Mnisamehe tena na tena maana nimekuwa mpya
Teh you nuts gelofriendEeeh Madame, yesu azidi kunipenda leo kuliko jana 😀😀
Dear, ujue unaongea na mtoto hapa fanya kumpotezea hapo awali nilijua nimwanaume kumbe utoto.
Imagine kuna mwanaume anaweza kukwambia akutumie video ya kumshughulia mwanamke?
Yaani mwanaume halisi ajirekodi? Hapo tu itakupa picha kua unaongea na mtoto.
Huyu lazima anapigiwa tena ukute hadi anamfahamu mume mwenzie. Au ndio anayewaweka mjini, kwahiyo akiona mada ya hivi anaumia maana anaijua hali halisi.
Ndio maana stress zake anazimalizia kwetu.
Aki au ashakutana nao tayari!! We mume wa hivi usipomchepukia haki lazima uwe na cha kujibu siku ya mwisho.
wenzako wananililia wewe unaleta kiburi kisa uko nyuma ya keyboard.
wewe ukiwa mchepuko wangu nakutafuna bila kukupa ata mia. maana hujui mapenzi vizuri
Hao ndio size yake maana wamelingana akili.
Huyu ni zile special cases my dear. Ni kwenda nae hivyo hivyo.
Whaaaat!!! alisema hivyo!!
Basi case closed.![]()
![]()
![]()
Mmh unauheshimu mchepuko kuliko mke?? Au Sijakuelewa?
snowhite nakuelewa sana sana Ujue!
Yaani hii hali ni two way sema sisi tunajiongopea nadhani hii hali msingi wake ni jamii iliyotuzunguka lakini hata vitabu vya imani zetu vime site cases kadhaa za wanaume kutoka nje ya mahusiano yao Mfalme Daudi anaweza kuwa Mfano, sasa imejengeka nafsini mwetu na kwenye jamii tunamoishi.
Kwamba ni KAWAIDA KWA WANAUME KUCHEPUKA alafu ni ajabu na fedheha kwa mwanamke kufanya hivyo.
Sio siri kupitia humu napata elimu ngumu kumesa namna ya kuendelea kuwa mume bora na mwaminifu kwa mwezi wangu.
Hizi story zisikie kwa jirani tu uwe mke au mume omba yasikukute aseeee ooh!
Pepooo shindwaaaaaaa!
Ooribabaaaa.....
Kweli kabisa.Hapa wangeshamtaja zamani role model wao Mfalme Suleiman.
Hahahaaah! eti role model wetu Mfalme Suleiman...
Anyway, dawa ya deni ni kulipa.
Hisia za mwili zinatakiwa zitimizwe na wahusika wawili walio halali. Mbali na na hao, roho chafu inashika hatamu.
Ngoja nimfuate tukalikemee wote vizuri.
wanawake wa karne hii mungu awasamehe kwa dhambi mnazotufanyia, yani mwanamke umetolewa mahari kabisa afu unaenda kubanjuliwa nje ya ndoa? et kisa kumkomoa mumeo? ujue wanaume tumeumbwa kua na mwanamke zaidi ya mmoja iyo ni nature kabisa na siyo dhambi coz hata mtu wa mungu mfalme suleiman alikua na wanawake lukuki lakini bado alipendwa na mungu. Hivyo enyi wanawake msitake kushindana na sisi maana sisi tumepewa kibali na mungu kuwamiliki wengi wengi ila ni kosa kubwa kwa mungu mwanamke kua na mume zaidi ya mmoja ua kutoka nje ya ndoa. hivyo nakushauri ukatubu na uache kabisa tabia hiyo la sivyo jiandae kuteketea jehanam.
Wanamsoma lakini hawamuelewi. Waielewe na laana ilokuwa juu yake.Mh!, mfalme Suleiman again!, yaani huko aliko he's turning in his grave jinsi mnavyo mtaja taja..
Wanamsoma lakini hawamuelewi. Waielewe na laana ilokuwa juu yake.
Duh!, kweli tunapoteza tu muda na wewe, angalia sasa akili zako zinafikiria kila mtu ana shida ya hela kama anavyochepuka mkeo kwa ajili ya hela maana Zoba kama wewe humtimizii mahitaji, si ya hali, mwili wala mali. Pole.
Buh bye Felicia!
Mfano mtu una kazi ya milioni tatu unaiachaje kwa mfano ili upate laki saba,.usishindane na mwanaume mama irene wewe kazi yako nikuzaa tuu. kufanya kazi ni kihere here chako na ndo wanawake wengi mko hivyoo.
mke wangu nilimwambia ntamuingizia kila mwezi 700,000 kwenye account mbali na matumizi ili mradi anasimamia kazi. bado anakomaa na mshahara wa 650,000 ambao ata sijawai uona. sijui account yake imetoboka hela zinavuja.
wanawake badilikeni muwe mnatumia akili sio makalio.