Kuchepuka raha

Kuchepuka raha

Mume wangu akiona nachepuka kwakweli aniombee tu maana hamna namna nyingine.
Haha..

Sema kuna ishu moja naona ndiyo pointi yenu ila mmeshindwa kui-clear .

Kwenu mnataka uchepukaji wa mwanaume uonekane ni sawa na wa mwanamke, Right?
 
Kwani my brother kuna dhambi ya mwanamke na mwanaume? Wapi paliandikwa wanaume wazini ila wnawake wasizini? Na kama wameruhusiwa kuzini wanazini na nani?
 
Huyu lazima anapigiwa tena ukute hadi anamfahamu mume mwenzie. Au ndio anayewaweka mjini, kwahiyo akiona mada ya hivi anaumia maana anaijua hali halisi.
Ndio maana stress zake anazimalizia kwetu.
hahahhaha yani!
 
Kwani my brother kuna dhambi ya mwanamke na mwanaume? Wapi paliandikwa wanaume wazini ila wnawake wasizini? Na kama wameruhusiwa kuzini wanazini na nani?
Hapana haipo. Na wanawake hao hao.

Ila sisy tatizo jamii. Norms. Jamii zetu mwanaume ni mastermind wa aspects zote ndiyo maana Daby mwenye ndoa nikikutwa na mtoto wa chuo leo sio jambo la ajabu kama atakavyokutwa espy mwenye ndoa na kakijana ka chuo.

Ila era ya elightment imewadia jamii imeanza kureason na kudadavua mambo. TUtafika mnakotaka tufike japo taratibu.
 
Hahaaaaaa Daby hapo ni gusa unate... Inabidi kukemea pepo tu ili kuepuka KARMA.

Ila kwq mujibu wa sensa wanaume tukiamua tubaki njia kuu wote vipi wanawake watakao salia? Watahudumiwa na nani?

I'm not justifying the evil. Nieleweke.
 
Hapana haipo. Na wanawake hao hao.

Ila sisy tatizo jamii. Norms. Jamii zetu mwanaume ni mastermind wa aspects zote ndiyo maana Daby mwenye ndoa nikikutwa na mtoto wa chuo leo sio jambo la ajabu kama atakavyokutwa espy mwenye ndoa na kakijana ka chuo.

Ila era ya elightment imewadia jamii imeanza kureason na kudadavua mambo. TUtafika mnakotaka tufike japo taratibu.
Hapo ulipomalizia ndicho nilichotaka kuelezea. Good taratibu jamii itaelewa tu kuwa kuchepuka ni kuchepuka tu, awe kachepuka mwanamke au mwanaume. Kama ambavyo jinsia ya kiume inavyozidi kulegalega ndivyo mambo nayo yatakavyobadilika.
 
Hapo sawa.

Naona unataka kunihamisha mada tena.
 
Back
Top Bottom