Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,080
- 165,195
Angetangaza mwanaume kamega ungesikitika?Nimeskitishwa sana, nimesononeshwa sana, unatangaza jf nzima yakwamba wew unamegwa na mchepuko
Angetangaza mwanaume kamega ungesikitika?Nimeskitishwa sana, nimesononeshwa sana, unatangaza jf nzima yakwamba wew unamegwa na mchepuko
Abeeeee uncleIla wanawake wasiochepuka wapo japo sijawahi waona.
Nadhani mpwa wangu heaven atakuwa mmoja wao
Haha haki gelofriend tu nimempataHata sisi tunaipa namba ile ile
Ila hata ukikesha na simu utaambulia patupu, unapekua we mi mwepesiii nazunguka ndani na shughuli zangu huku naimba imba.
"yesu unipendeeee leo kuliko janaa, kuliko janaaa kuliko janaaa..... "
Muishi na sisi kwa akili
Kweli ni ubichi wa nguoWabichi ndio hao wa chuo au unaongelea ubichi wa nguo? Asee kaka kuwa makini tu.
Hizo hela unazomuhonga ungeweka kwa ajili ya shule ya watoto wako ingekuwa vyema zaidi kuliko kumlipia mchepuko shule halafu akimaliza chuo anamalizana na wewe pia.
Yaani na wewe umemtaja tena!Mh!, mfalme Suleiman again!, yaani huko aliko he's turning in his grave jinsi mnavyo mtaja taja..
Wewe wasema.![]()
![]()
![]()
![]()
Kwakweli ni kondoo.
Duh!, kweli tunapoteza tu muda na wewe, angalia sasa akili zako zinafikiria kila mtu ana shida ya hela kama anavyochepuka mkeo kwa ajili ya hela maana Zoba kama wewe humtimizii mahitaji, si ya hali, mwili wala mali. Pole.
Buh bye Felicia!
Duh!, kweli tunapoteza tu muda na wewe, angalia sasa akili zako zinafikiria kila mtu ana shida ya hela kama anavyochepuka mkeo kwa ajili ya hela maana Zoba kama wewe humtimizii mahitaji, si ya hali, mwili wala mali. Pole.
Buh bye Felicia!
Mfano mtu una kazi ya milioni tatu unaiachaje kwa mfano ili upate laki saba,
Okay kama ni laki 7 Hujui kando ya mshahara kuna allowances,siku ukiacha kuingia hio hela kwny account ntaishije..mana hamchelewagi kosa dogo unakata na hela, nigeuke omba omba?..
Ukifariki ghafla je?na kama biashara sijui?
Pia kwny kazi unajifunza vitu vingi
Kweli ni ubichi wa nguo
Sio kwa kibamia hicho.. Ndo nini kujitangaza JF.,ntakujibu kesho namliza wifi yako cha pili saivi
Wakati ukiwa trainee pale CRDB mwaka 2011 na utu uzima wako hujaweza hata kutumia mashine ya kuhesabia pesa unatetemeka na kapete kako cjui kalikuwa kauchumba au chakuibia wateja hela, ila baadae nakuja kugundua kuwa ni mke wa mtu ila ule mchepuko ulikuwa unafanya pale CRDB nihatari hadi stuff walikuchoka yaani hiyo omba omba na smile zakiwiziAngetangaza mwanaume kamega ungesikitika?
kwa wateja duuuh cjui hiyo tabia bado unaendeaje nayo! maana mke wa mtu bado unachepuka huoni haya kisa kuwa teller tena trainee na uzee wote ule? Kwa maisha kama yale cjui cv yako ya kuajiriwa pale basi ilishachafuka sana. mm sio haja ya ww kujadili huu uzi hapa maana unakuhusu 100% wasiokujua wadanganye eti evelynsalt shame upon ya face
.Kwa nilivyo soma comments zako bado hujakua, ukikua utajua ulivyoviongea ni pumba kiasi gani.heshima anapata kwa anae kuheshimu
Wakati ukiwa trainee pale CRDB mwaka 2011 na utu uzima wako hujaweza hata kutumia mashine ya kuhesabia pesa unatetemeka na kapete kako cjui kalikuwa kauchumba au chakuibia wateja hela, ila baadae nakuja kugundua kuwa ni mke wa mtu ila ule mchepuko ulikuwa unafanya pale CRDB nihatari hadi stuff walikuchoka yaani hiyo omba omba na smile zakiwizikwa wateja duuuh cjui hiyo tabia bado unaendeaje nayo! maana mke wa mtu bado unachepuka huoni haya kisa kuwa teller tena trainee na uzee wote ule? Kwa maisha kama yale cjui cv yako ya kuajiriwa pale basi ilishachafuka sana. mm sio haja ya ww kujadili huu uzi hapa maana unakuhusu 100% wasiokujua wadanganye eti evelynsalt shame upon ya face
.
Kwa nilivyo soma comments zako bado hujakua, ukikua utajua ulivyoviongea ni pumba kiasi gani.
Makubwaaaaaaaa madogo Yana nafuuWakati ukiwa trainee pale CRDB mwaka 2011 na utu uzima wako hujaweza hata kutumia mashine ya kuhesabia pesa unatetemeka na kapete kako cjui kalikuwa kauchumba au chakuibia wateja hela, ila baadae nakuja kugundua kuwa ni mke wa mtu ila ule mchepuko ulikuwa unafanya pale CRDB nihatari hadi stuff walikuchoka yaani hiyo omba omba na smile zakiwizikwa wateja duuuh cjui hiyo tabia bado unaendeaje nayo! maana mke wa mtu bado unachepuka huoni haya kisa kuwa teller tena trainee na uzee wote ule? Kwa maisha kama yale cjui cv yako ya kuajiriwa pale basi ilishachafuka sana. mm sio haja ya ww kujadili huu uzi hapa maana unakuhusu 100% wasiokujua wadanganye eti evelynsalt shame upon ya face
.
Acha uwoga wewe mtoto wa kike.Looo! Ishu kama hizi zinanifanya nishukuru kutokua kwenye ndoa aisee!!!
Namdediketia kibao cha AMADA, nahisi amelewa.....