Kuchepuka raha

Kuchepuka raha

Teh teh heh hihiihii oh asee ili povu linalotkana na hii thread unaeza dekia bahari
 
Wanaume naona povu linawatoka! Ama kweli mkuki kwa nguruwe
Nguruwe pita sina mkuki mie. Nadhani wengi wanatoa ushauri tu. Nadhani huyo mwenzio toka mwanzoni alikuwa na wazo la kumbwato mje sasa anasingizia kibamia huyu atakuwa anathema big G kwa utamu wa Katanga za kuonjeshwa. Alitakiwa kukaa na kukabiliana na tatizo. Sidhani kama kuna mwanaume ashakuja kuja hapa na hoja kama hiyo halafu aseme maku ya gf wake ni kama ziwa Victoria.
 
ni shidaaaa
 
Majukumu ya kifamilia yenyewe mnajua ni kuhakikisha wamekula,kuvaa, kusoma na wana pa kuishi(pesa) baasi mmemaliza. Ulishawahi hata kukaa na wanao ucheze nao, usome hata vipaji vyao ili uvikuze,kuwasaidia home work,kupiga nao story(ujue nini kinaendelea ktk maisha yao), mfanye family prayer pamoja(hapa ndio mtihani sasa) nk nk nk????
Mmh naona aibu kwa ajili yao.
Yani aache kutafuta madeal bar acheze na watoto? Utakuwa umempa limbwata aisew .

Wish hawa wenzetu wangejua wana part kubwa sana katika malezi ya watoto apart from kumeet mahitaji yao ya kifedha. I honestly wish..

Hili nalo ni jipu asee, yaani kwa kweli kichwa cha nyumba na baba wa familia atulie ndani kucheza na watoto badala ya kwenda bar mbona watasema kapewa limbwata na kuonekana wa ajabu wakati inatakuwa kuwa ni kawaida.
Duh!, halafu sisi wanawake ndio wanasema aliyeturoga kafa, mweh!, mweh!, mweh!..
 
Mi nnachojiuliza hadi sasa......
Wanawake hatutakiwi kuchepuka, tukichepuka dhambi, tunaenda kinyume na asili.... Sasa WAUME ZETU WANACHEPUKA NA KINA NANI? Au wanapiga mashouga???
 
hongera sana yani uko kama mke wangu hanaga makuu akiendelea hivi mpaka december namtema mtoto wa chuo. japo anamanjonjo

hawa mabazazi espy Evelyn Salt demi wanamihemko
 
Nyie Watu! Nalendwa kwa hujaona "ubuyu" wa Zari? Hebu kale ubuyu kuleee...

Tukichepuka tunaenda kwa mabinti kigoli wabichi wabichi. Teh
 
Mi nnachojiuliza hadi sasa......
Wanawake hatutakiwi kuchepuka, tukichepuka dhambi, tunaenda kinyume na asili.... Sasa WAUME ZETU WANACHEPUKA NA KINA NANI? Au wanapiga mashouga???

.usishindane na mwanaume mama irene wewe kazi yako nikuzaa tuu. kufanya kazi ni kihere here chako na ndo wanawake wengi mko hivyoo.

mke wangu nilimwambia ntamuingizia kila mwezi 700,000 kwenye account mbali na matumizi ili mradi anasimamia kazi. bado anakomaa na mshahara wa 650,000 ambao ata sijawai uona. sijui account yake imetoboka hela zinavuja.

wanawake badilikeni muwe mnatumia akili sio makalio.
 
Hahaha!, ubuyu wa Zari baadae kwanza wakati napumzika, Shughuli yote iko hapa kwanza wala usijaribu kuchepua topic...lol
Ila na nyie mjifunze midundo mipya muwe na manyonyo na masarakasi kama hawa wa huko nje. Sio daile kifo cha mende
 
Back
Top Bottom