Kuchepuka raha

Kuchepuka raha

Kuna jamaa yangu alishawekwa kwenye huu msururu wakati tunasoma. Yule mtoto wa kihehe ashindwe kwa jina la yesu aseeh.

Alikuwa na wanaume sio chini ya 10 per.

Mshikaji yeye alikuwa ana msaidia class.

Kuna jamaa alikuwa wa kudumu yupo kwao ambaye ndiye kaja kumuoa.

Kuna kibopa wa tigo .

Kuna jamaa mmoja dereva scania.

Hapo hapo chuo alikuwa na jamaa in service wa kozi nyingine yeye alikuwa na x5.

Na wengine kibao. Na mdada alikuwa pin kweli
Wahehe watundu kunako 6x6
Ndo maana jamaa ako lazma adate..
 
Hata sisi tunaipa namba ile ile
Ila hata ukikesha na simu utaambulia patupu, unapekua we mi mwepesiii nazunguka ndani na shughuli zangu huku naimba imba.
"yesu unipendeeee leo kuliko janaa, kuliko janaaa kuliko janaaa..... "
Muishi na sisi kwa akili
Umekunywa mbege ya wapi jamnn..
Huyo kaka mnamnyooshajeeeee!!
 
Umeongea ukweli maana Ujumbe wake umeibua mbinu nyingi sana ambazo zitatumika kuchepuka kwa wale ambao walikuwa si wachepukaji. Tunayajua mengi kupitia comments za akina espy, nao, Nalendwa, Evelyn Salt, demi, Heaven Sent, na wengineo.
TUTAKE RADHI.

"You are what you chose to become". Kama una mwanamke ambaye akisikia tu mashoga zake wamesema/wamefanya kitu fulani na yeye akafanya basi atakuwa na matatizo sana. Muombee sana mkeo, Mungu akampe ufahamu na maarifa. "USIMUACHE"
 
Dah! Ukurasa wa 105 na bado tunatoka povu! We binti Kisia kweli umetupatia wanaume. Hapa lazima tuwe wapole tu. Huu uzi unazidi kudhihirisha kwamba sisi wanaume hatutaki kuamini kwamba
matendo yetu yanaweza pelekea wake/wapenzi wetu wanaweza kufanya maamuzi ya kuchepuka na kisha kufurahia kitendo hicho. Tujitahidi basi kutofanya matendo yanayoweza pelekea wake/wapenzi wetu kuchepuka. Na kama itashindikana
basi matendo hayo yafanyike huku heshima na staha ya wenzi wetu ikipewa kipaumbele
HAHAHAHHA!
kuna kadenial mnako wanaume mkiweza kutoka hapo kama hivi!
aaaah burdani!
usijali mkuu hata sisi tumejifunza ,maana sio kwa ukauzu huu!
unajua maana yake nini!
TUMEFIKA MAHALA PA KUTOKUONA UOVU NI UOVU!
nafsi ikishafika hapa aisee inakupasa hata wewe mwenyewe ushtuke!
 
wanawake wa karne hii mungu awasamehe kwa dhambi mnazotufanyia, yani mwanamke umetolewa mahari kabisa afu unaenda kubanjuliwa nje ya ndoa? et kisa kumkomoa mumeo? ujue wanaume tumeumbwa kua na mwanamke zaidi ya mmoja iyo ni nature kabisa na siyo dhambi coz hata mtu wa mungu mfalme suleiman alikua na wanawake lukuki lakini bado alipendwa na mungu. Hivyo enyi wanawake msitake kushindana na sisi maana sisi tumepewa kibali na mungu kuwamiliki wengi wengi ila ni kosa kubwa kwa mungu mwanamke kua na mume zaidi ya mmoja ua kutoka nje ya ndoa. hivyo nakushauri ukatubu na uache kabisa tabia hiyo la sivyo jiandae kuteketea jehanam.
 
WE UNATAKA TENA SREDI IFIKE 230 page!
wenzio tunakaa meza moja sa hizi tunaangalia how best tunaweza kutoka hapa!
WE ENDELEA TU!
 
wanawake wa karne hii mungu awasamehe kwa dhambi mnazotufanyia, yani mwanamke umetolewa mahari kabisa afu unaenda kubanjuliwa nje ya ndoa? et kisa kumkomoa mumeo? ujue wanaume tumeumbwa kua na mwanamke zaidi ya mmoja iyo ni nature kabisa na siyo dhambi coz hata mtu wa mungu mfalme suleiman alikua na wanawake lukuki lakini bado alipendwa na mungu. Hivyo enyi wanawake msitake kushindana na sisi maana sisi tumepewa kibali na mungu kuwamiliki wengi wengi ila ni kosa kubwa kwa mungu mwanamke kua na mume zaidi ya mmoja ua kutoka nje ya ndoa. hivyo nakushauri ukatubu na uache kabisa tabia hiyo la sivyo jiandae kuteketea jehanam.
Nonsense
 
Back
Top Bottom