Kuchepuka raha

Kuchepuka raha

Namdediketia kibao cha AMADA, nahisi amelewa.....
BAK naomba umpe huyo masele hapo juu songi la AMADA
Naomba rejea kwenye maelezo yangu "wadanganye wasiokujua" ulihitaji selfie na mm kudhihirisha kuwa nakufahamu? Kale kastarlet cha spana mkononi umemalizia deni la mshikaji au bado mnapelekana polisi hadi leo? Maana hulipi hela kisa gari inasumbua miaka mingapi hadi leo? Toka 2012 ukiwa sinza kwa remmy ukatoka ukahamia magomeni huu ni mwaka wangapi? shame! ukihitaji picha zako nakutolea moja hapa IGM.
 
Ha ha ha ha ha ha hebu jipe muda wa kunyapia nyapia info zangu afu ndo upike pike story
ROCK CITY ndo home yani huko sinza kwa remmy hata ukiniacha ubungo tu sifiki nitapotea pole bro
 
Poa karibu huku upepo unakovuma wewe siyo kisiki magomeni tu miaka nenda rudi!
 
Ha ha ha ha ha ha hebu jipe muda wa kunyapia nyapia info zangu afu ndo upike pike story
ROCK CITY ndo home yani huko sinza kwa remmy hata ukiniacha ubungo tu sifiki nitapotea pole bro
Habari ya asubuhi mamy
 
Yaani mnaoletaga maasa za kupromote watu kuchepuka ni wasenge sana. Watu kila siku wanauana kwa sababu ya usenge huo huo alfu leo mpuuzi ameshiba sijui nn unakuja kuhamasisha uchepukaji. Mm naona ni upuuzi wenye masters kabisa
 
so ndo umekuja kuhamasisha uchepukaji na uzinzi wako huku jf? Mungu anakuona - unavyoongea unaoneka wewe ndo chanzo cha matatizo maana sio kwa furaha iyo km umetiwa ndimu!!!
 
Mnisamehe 7*70. Lakini kupitia kwa comments zenu wengine tumeyajua makwazo tuyasababishayo juu ya wake zetu,pia nimejifunza mengi sana jinsi ya kukaa kamati na mke wangu. Mnisamehe tena na tena maana nimekuwa mpya
Good Boy!
 
Naomba rejea kwenye maelezo yangu "wadanganye wasiokujua" ulihitaji selfie na mm kudhihirisha kuwa nakufahamu? Kale kastarlet cha spana mkononi umemalizia deni la mshikaji au bado mnapelekana polisi hadi leo? Maana hulipi hela kisa gari inasumbua miaka mingapi hadi leo? Toka 2012 ukiwa sinza kwa remmy ukatoka ukahamia magomeni huu ni mwaka wangapi? shame! ukihitaji picha zako nakutolea moja hapa IGM.

inaelekea unamjua vizuri huyuu ajuza.

Evelyn Salt niPM nikupe kababy woka(vits) uachane na hiyoo starlet mbovu.

au unampango wakuwa fundii.
 
Back
Top Bottom