uki-recall vzur maelezo yngu utagundua wap ulikosea.
ina maana hujaliona, mbona mimi nimeliona, ISOME tena sentence yako mkuu, usibishe umekosea, rudi uikague utaliona kosa, hajakuonea Mkuu
kosa gani ndugu katika sentensi yangu ndugu maana naona unakuja mbogo
Labda ni hapo, if IT were me, ilitakiwa Kuwa if I were me, ila hata mimi kithungu sijui sana!
.........ww ndio mvivu wa kufikiri, mbona anaeleweka tu huyu jamaa.....nmeamini kweli hamjlalipwa coz mawazo yenu yanaonesha hlo.mtoa maada alisema kwamba yeye hajalipwa na co ofisi yao na ndio maana nkasema kwa nn asiwaulize anaofanya nao kaz.nadahn aligundua baade hlo akaja akasema kua idara nzima haijapata kitu ambacho mwanzo hakusema.imekua kawaida sna kwa watu wa jf ishu yoyote ikimkuta bila hata kushirikisha akili anakuja kuimwaga hapa na ndio maana huwa matusi hayakauki.
Kweli kabisa mkuu, hapo umenena. Maswali mengine ni kero-kama hili: mke wangu anajamba sana usikutatzo letu cku hizi watu wa jf tumekua wavivu wa kuwaza na kuwazua na hata kuchukua hatua...ina maana km unafanya kaz ktk ofisi ya umma unataka kuniambia uko peke yko hapo ofisin?kwann ucwaulize unaofanya nao kaz,by the way umesema ww ndio haujapata na co ofisi nzima.cku hizi hata mtu akibanwa na ushuz anauliza jf jins ya kujamba....mi nadhan kwa namna moja au nyingine tunashindwa kuutumia huu mtandao vizur..
Twendeni jukwaa la lugha.If it were me, I would....... or If I were I, I would .....or If It were I, I would...... Which is which ?
tatzo letu cku hizi watu wa jf tumekua wavivu wa kuwaza na kuwazua na hata kuchukua hatua...ina maana km unafanya kaz ktk ofisi ya umma unataka kuniambia uko peke yko hapo ofisin?kwann ucwaulize unaofanya nao kaz,by the way umesema ww ndio haujapata na co ofisi nzima.cku hizi hata mtu akibanwa na ushuz anauliza jf jins ya kujamba....mi nadhan kwa namna moja au nyingine tunashindwa kuutumia huu mtandao vizur..
'unsound mind'
Ile kada yenye matatizo lukuki serikali imewaongezea 30% ya mazingira magumu so hongereni japo kazi bado mnayo...so tegemeeni mishahara mipya kuanzia J5 this wk....teh teh eh
Sijanya hii siku ya 3.