adakiss23
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 4,477
- 4,270
Mkuu upo serious? So tutarajie kwenye tarehe ngapi labda?
Sio mbali kuanzia tarehe ya 48 tu
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mkuu upo serious? So tutarajie kwenye tarehe ngapi labda?
Mkuu upo serious? So tutarajie kwenye tarehe ngapi labda?
Hiyo ni habari ya kweli kabisa. Itategemeana na ofisi yako kama itawasilisha makabrasha mapema Hazina yatashughulikiwa mapema. Kama kuna wazembe na wacheleweshaji basi ndio mkaze buti
Sasa mbona unanichanganya Happy?Which is which,sasa hata kama ofisi italeta taarifa mapema kama hazina kuna matatizo watazishughulikiaje wakati tatizo bado lipo hapo hazina?
nami nimegundua hicho hapo kunakaubaguzi fulani hivi,mbona sikukuu za kikristo hasa chrismas mshahara mapema kila mwaka na kila sekta,mm ni mwislaamu linaniuma sana hili jambo na ndio maana siku hizi kuna utata kwenye dini
shida yangu ilikuwa ni kufananisha akili yako na kilaza mwenzio mulugo na sio kutaja ukristo,mnafanana akili na mulugo sijui ni pacha wako
Akili mbovu udini umekukaa endelea kusota p.i.m.bi wewe!
Pole Mwalimu cha msingi ushauri wa bure kuwa mbunifu usitegemee mshahara pekee na hasa kwa kada hii ambayo haina income nyingine out of salary! Bado salary hata kwetu pia! Pole saaana Mwl
Pole sana kwa frustration za mshahara!kwi! kwi! kwi! kwi! kwi! nani asote usilolijua ni sawa.....*.#&.*......!!! ila we mmmmmmbayaaaaaaa wewe! hata elimu yako inaonekana ndogo na ubongo wako umeathirika na ulafi wako wa kula ovyo itabidi ukapime muhimbili huo ubongo mana unaishi tofauti na wenzio,kichwa cha mwendawazimu,mpe high huyo uliyelala naye
mi huwa nafikiri sikukuu nyingi za kiislam zinategemea kuandama kwa mwezi (ila sio zote)Hapa pana hoja ya msingi sana ni vizuri wanajamvi kwa nia ya kujenga tuwe pamoja: mwezi wa 12 mishahara huwa inawahi sana hilo hailihitaji kuwa na elimu ya chuo kikuu kulijua,tena hata ofisi za serikali huwa zinapambwa na maua kana kwamba wote ni wa imani moja.kwa nini sikukuu za Kislam huwa zinachukuliwa kiwepesi?