Kuchelewa kwa Mishahara ya watumishi wa umma mwezi October 2012

Miye Bosi wangu ni dini nyingine hawezi kunipa mshahara wala posho ila ingekuwa ile sikukuu nyingine angenipa tena mapema tu, ujanja nilioufanya nimebakiza baadhi ya vihela vyangu ili nile ubwabwa mchafu 'Chakula cha Peponi'.

Hapa sijakuelewa!! kwani watakao jaaliwa kuingia peponi watakula ubwabwa mchafu ! huu msamiati si bora!
 
nami nimegundua hicho hapo kunakaubaguzi fulani hivi,mbona sikukuu za kikristo hasa chrismas mshahara mapema kila mwaka na kila sekta,mm ni mwislaamu linaniuma sana hili jambo na ndio maana siku hizi kuna utata kwenye dini

Sio point nzuri ya kusema. angelikua kiongozi wa juu ni mukiristo nadhani ungeongea zaidi ya haya lakini ni huyo2
muislam. Tatizo tanzania haiweki vipao mbele katika sherehe zetu sio eid wala krismas. mishahara hadi mwisho wa
mwezi utafikiri na mwenyewe nae (yaani mlipaji) anazisubiri kutoka sehemu fulani azipate atulipe! poor planning!
 
Mwl. suala la mshahara kwa enzi ya leo usitegemee sana. Hazina inatoa pesa sehemu nyingi kv malipo ya sensa, katiba mpya, chaguzi ndani ya chama tawala, ujenzi wa miundo mbinu, safari za waheshimiwa nk. Nakushauri anzisha miradi ya pembeni kv tuition itakusaidia kupunguza ukali wa maisha wakati ukisubiri nadhani ni wages sio salary kwa kila mwezi. Kwa nyie huko nadhani mshahara(wages) utatoka kuanzia tarehe 2 Novemba.
 
, chaguzi ndani ya chama tawala, ujenzi wa miundo mbinu, safari za waheshimiwa nk. Nakushauri anzisha miradi ya pembeni kv tuition itakusaidia kupunguza ukali wa maisha wakati ukisubiri nadhani ni wages sio salary kwa kila mwezi. Kwa nyie huko nadhani mshahara(wages) utatoka kuanzia tarehe 2 Novemba.[/QUOTE]

mda mwingine wana jf kumbe waongo du! hiyo tar 2 nov labda wages ya house girl wako ndo umepanga kumdhurumu
 
Poleni sana, mimi nipo shambani kwangu nakula mahindi na hii ndio sikuku yangu
 
Kwa walio Kigoma nafikiri ndio wanacheleweshwa zaidi sometimes inaenda mpaka tarehe 31 kitu hakijasoma.
 
Mkuu namanyele umeshapata lile limama ulilokuwa unatafta?

tayari kama watatu,kati ya hao mmoja tayari nimemwona na tushafanya maongezi,wawili wamenipa contact zao eti tutawasiliana lakini nataka mmoja tu kati ya hao
 
kafundishe tuition upate buku jelo ya ubwabwa kwa mamantilie upozee machungu!

niletee mtoto wako wa kike au wa ndugu yako aliye sekondari nikufundishie lakin awe anaingia shift ya jioni ili nipate vizuri hiyo buku jelo na zaidi
 
nami nimegundua hicho hapo kunakaubaguzi fulani hivi,mbona sikukuu za kikristo hasa chrismas mshahara mapema kila mwaka na kila sekta,mm ni mwislaamu linaniuma sana hili jambo na ndio maana siku hizi kuna utata kwenye dini

Kumbe hata Pasaka ikiwa tare 19 April watu huwa wanalamba mshahara wa April katikati ya mwezi sio? Halafu wanakaa hadi 30 Mei kusubiri mshahara kwa mwezi mmmoja na nusu sio??

Udini wa JK unatuletea bala kubwa sana Tanzania. Mungu tusaidie
 
Mimi mwalimu bagamoyo, rais,wziri wa elimu, afisaelimu,mkurugenz,meneja wa bank, dinimoja mshahara bado,unasemaje hapo,acheni udinijamani.
 
Wadau, naomba kuuliza kama kuna wafanyakazi wa umma wameshapata mshahara wa mwezi wa 10. Binafc mshahara wangu huingia kuanzia tr 22 mpaka 25, lakini leo ni tr 28 cjaona kitu. Mwenye taarifa khsu kucheleweshwa kwa mshahara wa mwezi huu atujuze. Nawasilisha! UPDATES: MISHAHARA IMETOKA MCHANA HUU KWA IDARA NA HALMASHAURI ZOTE.
 
Wadau, naomba kuuliza kama kuna wafanyakazi wa umma wameshapata mshahara wa mwezi wa 10. Binafc mshahara wangu huingia kuanzia tr 22 mpaka 25, lakini leo ni tr 28 cjaona kitu. Mwenye taarifa khsu kucheleweshwa kwa mshahara wa mwezi huu atujuze. Nawasilisha!

failing government! If it were me I would resign and let others take the job.
 
Wahasibu walikuwa kwenye sikukuu hivyo tegemea kuanzia jumatatu utaona mfuko umetuna.
 
Back
Top Bottom