Kuchelewa kwa Mishahara ya watumishi wa umma mwezi October 2012

Nyie si mabwege? kama sio mbona
Mgimwa hajatoa hata kaapology na kuwapa tentative date ya kulipwa ili mkalipe unga kwa mangi na viloba kwa mama muuza. mchele na beer tuachieni wenyewe. Na hv viteacher vya vodafasta huku mtaani si tunajikamatia tu si vimefulia? kwi kwi kwi!
 
Serikali ya chama cha mapinduzi (ccm) lipeni mishahara kwa wakati,msifanye tuamini kuwa ndiyoiliyotumika kama takrima UVCCM,UWT na JUMUIYA YA WAZAZI
 
Mimi naona sawa tu kwani kama kila uchaguzi watanzania wanaendelea kuwachagua, wao wafanye nini sasa zaidi ya kutuona mabwege.

Hata watumishi wengi wa umma, ni miongoni mwa mamilioni ya watanzania wanaona ccm ndion chama pekee kinachostahili na kufaa kuongoza nchii hii.

Ukipenda boga,penda na ua lake.

Ukipanda mahindi usitarajie kuvuna maharage.
 
kama haukui maana ya mwajiliwa unadai mshahara kwa ccm wa nini?

Mwalimu una mbwembwe wewe, au unataka kuwa sauti yao.

Nape uko wapi unavuliwa nguo huku?

mwajiliwa?? Doooooo hatari kabisa...umeweka alama ya ulizo mahali pasipokuwa na uhitaji...doooooo
 
Heri yangu mie sijawahi kuhiamini ccm na kuipatia kura. Ndugu zangu watz wengine wanasema eti siasa si chuki, lakini tulikofikia hapa inatubidi kuwachukia wale wote wanaoshabikia chama hiki tena hadharani, na hii itakuwa ishara tosha kwao kujitambua kuwa sasa hawapendeki. Mimi jana nimemfukuza jamaa mmoja kwangu kisa kaja kwangu kuangalia mechi ya man. na arsenal akiwa ametinga vazi la ccm. Haiwezekani kukaa na mtu wa ccm kwangu tukacheka wakati watoto wangu hawana uhakika wa kunywa chai yenye sukari.
 
gazeti la mwanahalisi lilikuwa linatusaidia sana aise,lingelipua kesho yake tunapata!
 
wafanyakazi wa serikali inabidi mvumilie kidogo pesa zenu tulizipeleka dodoma kwenye chaguzi za nec, uvccm,uwt na wazazi ilibidi tuzitumie kuhonga wajumbe so saivi serikali hela imepungua kidogo vuteni subira kama miezi mingine miwili
 
Mpaka leo tar4 hatuoni mishahara,,mmeipeleka wap nyie watu?.....kweli watanzania kaz tunayo

Humu JF sio pakuleta mashitaka yako peleka mahakamani au polisi,na kwa maelezo yako hyo ambayo hayna kichwa wal miguu hata ukienda mahakamani au polisi huwezi kusaidiwa.
 
Serikali ya chama cha mapinduzi (ccm) lipeni mishahara kwa wakati,msifanye tuamini kuwa ndiyoiliyotumika kama takrima UVCCM,UWT na JUMUIYA YA WAZAZI

mkuu upo sahihi sana,kuna dogo mmoja ni polisiccm leo nikiwa kwenye hiace naelekea Njiro bila uoga wala kutafuna maneno tena akiwa ndani ya magwanda ameponda chama tawala kwani mpaka sasa mshahara na posho anavisikia redioni tu,na akijaribu kuhoji majibu toka kwa kamanda wake anaambiwa awe mvumilivu kwani system inasumbua,nilishindwa kumchana live kwa jinsi alivyokuwa amepauka,chezea serikali ya ****** wewe.
 
Na bado mpaka tuheshimiane hapa mjini,si mnaona dili kuajiliwa serikalini? CCM tobikoooooo!
 
Hawa jamaa wanatuboa sana, sasahivi imekuwa kila wanapokuwa na mikutano yao ya kijinga, inafuatiwa na kuchelewa sana kwa mishahara ya watumishi wa umma
 
Back
Top Bottom