Kuchelewa kwa Mishahara ya watumishi wa umma mwezi October 2012

tatzo letu cku hizi watu wa jf tumekua wavivu wa kuwaza na kuwazua na hata kuchukua hatua...ina maana km unafanya kaz ktk ofisi ya umma unataka kuniambia uko peke yko hapo ofisin?kwann ucwaulize unaofanya nao kaz,by the way umesema ww ndio haujapata na co ofisi nzima.cku hizi hata mtu akibanwa na ushuz anauliza jf jins ya kujamba....mi nadhan kwa namna moja au nyingine tunashindwa kuutumia huu mtandao vizur..
 
Mkuu wafanyakazi wa umma wamegawanyika katika kada nyingi. Kwenye kada yangu wote ha2japata, ndio maana nikauliza icje ikawa nikadaye2 ndo ha2japata kumbe wenzetu washapata. Pia humu ndani kunawa2 wanaofanyakazi kwenye ofic zinazohusika hivyo nategemea jibu kutokakwao wa2eleze kunani?
 
nadhani uko sahihi. Huyu jamaa aliyekujibu kakurupuka tu! nadhani yeye ndiye mvivu wa kufikiri maana idara za serikali zipo nyingi, hivyo ni vema kuuliza kujua kama idara zingine wamepata.
 
Pole sana ndugu...sikukuu imefika afu mshahara hujapata? Labda watatoa mwisho wa mwezi. Serikali yenyewe siyo sikivu. Na walivyo wababe, hata samahani hawatasema.
 
Mkuu wafanyakazi wa umma wamegawanyika katika kada nyingi. Kwenye kada yangu wote ha2japata, ndio maana nikauliza icje ikawa nikadaye2 ndo ha2japata kumbe wenzetu washapata. Pia humu ndani kunawa2 wanaofanyakazi kwenye ofic zinazohusika hivyo nategemea jibu kutokakwao wa2eleze kunani?

uki-recall vzur maelezo yngu utagundua wap ulikosea.
 
nadhani uko sahihi. Huyu jamaa aliyekujibu kakurupuka tu! nadhani yeye ndiye mvivu wa kufikiri maana idara za serikali zipo nyingi, hivyo ni vema kuuliza kujua kama idara zingine wamepata.

nmeamini kweli hamjlalipwa coz mawazo yenu yanaonesha hlo.mtoa maada alisema kwamba yeye hajalipwa na co ofisi yao na ndio maana nkasema kwa nn asiwaulize anaofanya nao kaz.nadahn aligundua baade hlo akaja akasema kua idara nzima haijapata kitu ambacho mwanzo hakusema.imekua kawaida sna kwa watu wa jf ishu yoyote ikimkuta bila hata kushirikisha akili anakuja kuimwaga hapa na ndio maana huwa matusi hayakauki.
 
OK tuvumiliane kwa kila jambo. Tuelimishane kwa kila jambo. Mimi nachukulia JF kama resource centre of some kind! I might be wrong anyway and I stand to be corrected.
 
tatzo letu cku hizi watu wa jf tumekua wavivu wa kuwaza na kuwazua na hata kuchukua hatua...ina maana km unafanya kaz ktk ofisi ya umma unataka kuniambia uko peke yko hapo ofisin?kwann ucwaulize unaofanya nao kaz,by the way umesema ww ndio haujapata na co ofisi nzima.cku hizi hata mtu akibanwa na ushuz anauliza jf jins ya kujamba....mi nadhan kwa namna moja au nyingine tunashindwa kuutumia huu mtandao vizur..

Dah, umetiririka mkuu mpaka raha
 
Sie wa wizara ya Afya mbona tayari tumesharamba mshiko!. tangu tar.25 mvua imeshanyesha.
 
Acha kukariri kulipwa tarehe 22-25,jipange kimaisha bwana mdogo na usipange ckukuu kwa huo mshahara!Je family yako eid waliiona au ulimwambia mkeo akatembee kwao!Ni hak yako utalipwa tu kuanzia j3!Salary yako ya nov iweke bank mpaka xmass!!
 
Hujui kuwa huu ni mtandao unaowezesha mawasiliano? hii pia ni mada inayostahili kuwasiliana. Acha kuwaza kimakosamakosa:target:
 
nmeamini kweli hamjlalipwa coz mawazo yenu yanaonesha hlo.mtoa maada alisema kwamba yeye hajalipwa na co ofisi yao na ndio maana nkasema kwa nn asiwaulize anaofanya nao kaz.nadahn aligundua baade hlo akaja akasema kua idara nzima haijapata kitu ambacho mwanzo hakusema.imekua kawaida sna kwa watu wa jf ishu yoyote ikimkuta bila hata kushirikisha akili anakuja kuimwaga hapa na ndio maana huwa matusi hayakauki.

mkuu ni mada si maada,hebu 2lia unapoandika
 
napenda wilaya ya muheza tanga....hatujawahi kucheleweshewa hata mara1. safari hii tangu trh 25 kitu na box. wakati wengine wanasubiri mshahara wa octoba cc tunasubiri wa novembreeee
 
Central Gvt had ijumaa next wk, endelea kukopa dukani kwa mangi na grocery ya karibu.
 
mtaua,
wengine tunasumbuliwa na nyumba ndogo,

Nyumba kubwa hakuna noma walishazoea maharage/tembele
 
Back
Top Bottom