Kucha ndefu ni uchafu

Kucha ndefu ni uchafu

Kucha ndefu kwanza zinauma. Ila sasa wanaume wa siku hizi wana makucha marefu hadi aibu aisee. Muwaambie wake zenu wawakate kucha kila jumamosi kuepuka aibu hii.
 
Duh! Huu si urembo hata chembe! Kucha ndefu kiasi hiki za miguuni za nini!? Hata za mikononi zikiwa ndefu kupita kiasi ni uchafu.
Sidhani kama mtu anaweza kuwa na makucha kama haya
Kucha ndefu kiasi zinampendezea mwanamke jamani
 
Hata kwenye kumhudumia mtoto kucha ndefu ni hatari au ndo habari ya housegirl???

Anyway kucha ndefu binafsi naona zinapendeza ila sasa zinahitaji umakini sana
 
Hata kwenye kumhudumia mtoto kucha ndefu ni hatari au ndo habari ya housegirl???

Anyway kucha ndefu binafsi naona zinapendeza ila sasa zinahitaji umakini sana
hazipendezi hata kidogo, wanawake wastarabu wore m dunia wanakata kucha, kubali tuu kucha ndefu ni uchafu
 
na wewe unakucha ndefu? Dunia imeisha
Ulidhani nina kucha/vidole kama tangawizi???
maxresdefault.jpg
 
kam usafi ni kuwa na kucha fupi, acha tu niwe mchafu.
hata ujipulizie nankujipaka rangi utakua mchafu, na mvivu , hufanyi kazi za nyumbani , house girl ndio kila kitu.
 
Kucha ndefu wala sio uchafu,suala kubwa ni matunzo tu
Binafsi ninazo ndefuu na ni safi 24/7
Hujisikiagi vibaya ukiingia toilet wakati ukitoa inye ña ikabaki baki kwenye kucha ashiiiiiii kinyaaaaa
 
Wenye ile mikucha wengi ni mala** hawapk, hawashughulikii watt, hawafui, hawafanyi lolote ata kujichamba hawachambi ktk hali ya kawaida mwanamke anayejielewa hawez kuwa na hayo makucha mana anajua atakula mavi uchafu mtupu..[emoji40]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom