Ahaha 🤣Halafu hakuna raha kama kula kuku na mayai yake.. Unaangalia tu uanze na kipi😂
Raha ya supu ya utumbo ni tule tumavi mavi , sio unaosha yanakua kama hayaView attachment 3398295
Haya ndio mambo sasa kuna yale ya mbuzi ukila ni kama keki kabisa.
Weeer, macho bhanaAu jicho👁👌🏿😂😁
Hayo ni ya mbuzi.. nasikia kwamba yana kazi maalumu mwilini sijui ni kweli?Haya ndio mambo sasa kuna yale ya mbuzi ukila ni kama keki kabisa.
Hahaha wapi nivamieHaya ndio mambo sasa kuna yale ya mbuzi ukila ni kama keki kabisa.
Sijajua mkuuu ila haya nyumbani ni vidume tu ndio tulikuwa tunaruhusiwa kuyala🤔Hayo ni ya mbuzi.. nasikia kwamba yana kazi maalumu mwilini sijui ni kweli?
Huwa napika mbege home mwenyewe, mara ya mwisho ilipanda sana kuna kidumu kililipula ndani ya fridge.Wachaga ukitutoa kwenye vyakula vya asili yetu ni weupe kinouma sema vyakula vyetu vitamu sana , ukishushia na bohora moja la mbege mambo yanakua poa😅
Yan nikiona mtu anapika kuku mchizi naona kama anaharibu, kuku huwa nachoma au nakaanga😀
Duuuh pombe ni hatari kwa maini hasa ukinywa usiku...... 🤣🤣🤣🤣🤣Hata Mimi labda keupe na bitter lemon ya baridi sana mpaka inatoa jasho😋View attachment 3398320
Mkuu hii mitaa ya wapi