Ndugu Watanzani na msio Watanzani,
Ni fahari kwagu na kwenu kuwa na watu ambao tunawaita MASHUJAA WA NCHI HII. Kwa kipindi tunachoelekea hatutakuwa mbali sana na ukweli kuwa Kubenea ni mmoja wa mashujaa wa nchi. Nasema hivi kwa sababu ni wengi wanataarifa, wanajua na wanawaona mafisadi lakini kwao ni kama hawaoni wala hawasikii ingawa rohoni wanaumia. Ni jambo GUMU sana kwa mtu wa kawaida kabisa kumtaja mtu mwenye nguvu kama Edward mwenye kila uwezo hapa nchini kwenye ardhi hii (siyo mbinguni) kama afanyavyo ndugu yetu Kubenea. Tunakuombea ndugu yetu angalao uendelee na moyo huo huo wa kuwasema na wengine labda wataona HAYA kidogo lau kama si kuacha Ufisadi.
Wote tumeandika humu,,, lakini wasiwasi wangu ni kuwa kuna watu kama wachungaji wa kondoo,,, mzee wa Tanganyika,,,, anasema mengi kuwakemea mafisadi,, kuwa huyu kafanya hivi huyu kafanya vile,,, Mchezaji wa Maigizo,,, maigizo ya njaa,,,, labda atafanikiwa kumaliza kile kibanda chake! Njaa hii,,, njaa,,, njaa kali (lakini angepata wapi hizo 50M kama siyo maigizo yake). Eti anawaita waandishi wa habari kuzungumza nao. Jamani waandishi kuna mambo makubwa ya jamii ya kufanya na siyo kumsikiliza mwehu kama Mtikila,,, ndoyo Mtikila,,, anayejiita mchungaji sijui wa dhehebu gani,,,, Labda Rostam Azizi and E Lowasa Fool Church? Labda.
Watanzani tumezidi kuwa wapole na ndiyo jadi yetu,,, Lakini nawaambia kuwa WAKATI WAJA MTU MMOJA MWENYE ANGALAO UCHUNGU NA NCHI HII ATAKAPOSIMAMA NA KUSEMA SASA BASI YATOSHA!!!!!
Nimalizie kwa kuwakumbusha medani za kivita kwa wale angalao walipitia JKT. Vita ipiganwapo huwa tunamsaka Jemedari mkuu,,,, wote tuliona ama kusikia ya Uganda baada ya Amini kuikimbia nchi,,, ushindi ulikuwa wa wetu. Hali kadhalika EDWARD NGOYAI LOWASA (Na sijui kama huyu ni Mmasai kweli maana inasemekana mama yake alikuja na mimba baada ya kukataliwa na aliyempa mimba akalelewa kwa babu yake mzaa mama yake,,, akabatizwa kimasai,,, tutaona huko tuendako) AMBAYE NI JEMEDARI MKUU WA UFISADI TANGU AKIWA AICC NI LAZIMA JESHI HILI LIKIONGOZWA NA KUBENEA LIHAKIKISHE KUWA ANAKIMBIA KIKOSI CHAKE. Mr X PM EDWARD NGOYAI LOWASSA for the sake of Tanzania and your good wish to this nation, we ask you and your team to surrender all that belongs to Tanzanian.
No one will ever talk to you if you do so,,, Just surrender and go back to Monduli as you dont need that money to stay where you are now. Mwangalie mwenzako Pm aliyekutangulia Sumaye,,, nani anashughuli naye,,, aliondoka akaenda kijijini na ametulia ingawa naye alikuwa fisadi. maskini tuliokuwa Arusha kwenye Sullivan yeye na Mzee Msekwa wala hawakupitia VIP,,, tulipigana nao vikumbo.
jamani hii vita ndo inapamba moto,,, na kama tukiwa watoto wa Tanzania lazima tuseme na Kubenea anaendeleza mapambano,,, je tumwache mwenyewe?
Mungu mbariki Kubenea na team yake,,,
Mungu Ibariki Tanzania.
Mapambano yanaendelea.