huo ndio unaitwa uandishi, you continue to write the news even if it looses the heat.
Ripota anaandika ripoti anaishia hapo.
mwandishi wa uchambuzi, kama huyu anaandikia wale wenye kutaka ukweli wa mambo, kwa kila upande, kupata picha halisi.
Najua hatupo wengi ila sasa habati ya jengo la umoja wa vijana ndio inaeleweka.
Kumbuka lengo si lowasa tu, lengo kuu ni kufichua wote walioshiriki kama kweli kuna tatizo lionekane, kama hakuna ijulikane.
Hawa huitwa jounalists.
habari itaisha pale ambapo utata utaisha na kupatikana solution na mwafaka, na yeye alieinanzisha habari hii kuifunga rasmi.
Wenye kupenda udaku publishers saa hizi wanasubiri tena hot news zingine.
Kazi anayoifanya Kubenea ni ngumu na inahitaji persistence ambayo wanahabari wengi hawana.