mama ndalichako ni mama anayestahil sifa NECTA.ameweza kupadhibiti uvujaj wa mitihan umekomeshwa watu sasa wanaleta chuki tu binafs.hawez kukubal kuyumbishwa ktk suala la elimu kwa sabab ya wahun wachache.tunajua kwa nin watu wanamchukia
Wakikubali matwaka ya cabinet basi watakuwa wamekubali kubebeshwa zigo la lawama ambalo lilitakiwa libebwe na wizara ya elimu..
Mwenyekiti wa Baraza la Mitihani la Taifa-NECTA ambaye pia ni Makamu Mkuuwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Prof.Rwekaza Sympho Mukandala amesema hayuko tayari kubadili matokeo ya Kidato cha Nne.
Chanzo cha karibu cha Prof.Mukandala kinadai kuwa mara baada ya kutolewa taarifa ya Serikali inayotaka 'kuboreshwa' kwa matokeo hayo,Prof.Mukandala ameonesha kukataa amri hiyo hadi sasa. 'Sisi tulipitisha matokeo hayo mbele yao na kwa idhini yao.
Iweje leo Baraza libadili matokeo?.Tunafanya hivi kwa faida ya nani na kwa ustawi wa elimu ya wapi?' alinukuliwa akihoji Prof.Mukandala.
Habari za kuaminka zinadai kuwa Prof.Mukandala pamoja na Katibu Mtendaji Dr.Joyce Ndalichako wanajiandaa kuachia ngazi kama Serikali itasimamia uamuzi wake huo.
Mengi yatafuata. Kaeni chonjo! VUTA-NKUVUTE aka Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam (sasa Dodoma)
hapo naona umewashauri wengi including the president!Akiachia ngazi Ndalichako itakuwa sawa na Kuvuja kwa Pakacha. Huyu mama amelalamikiwa sana, hata kama ni mtendaji mzuri lakini lawama zikizidi ni bora kutafuta ustaarabu mwingine. Mbona elimu yake ni nzuri tu aachane na hiyo kazi ya NECTA ni kama imemshinda vile. Sifa ya kiongozi mzuri ni pamoja na ku_manage Public Relations
bora huyo asiyeeleweka kuliko wewe usiyeelewa,Mukandala anahusika vipi na matokeo ya olevel? au wameenda kuomba ushauli senet ya udsm? Hueleweki!
mdau rwekaza ni mwenyekiti wa NECTAMukandala anahusika vipi na matokeo ya olevel? au wameenda kuomba ushauli senet ya udsm? Hueleweki!
hili liliwashinda wengi sana,kwakweli miaka ile ya kuvuja pepa ilikua ya kujidanganya Dr Joy hapa nampongeza sana tena sanamama ndalichako ni mama anayestahil sifa NECTA.ameweza kupadhibiti uvujaj wa mitihan umekomeshwa watu sasa wanaleta chuki tu binafs.hawez kukubal kuyumbishwa ktk suala la elimu kwa sabab ya wahun wachache.tunajua kwa nin watu wanamchukia
Mukandala anahusika vipi na matokeo ya olevel? au wameenda kuomba ushauli senet ya udsm? Hueleweki!
Yeeeees... Politics vs Professions. Nani zaidi?