Walewalee!!!Sasa hiyo personal issue ya jirani yako kutaka kukuazima gari, nayo unaileta humu janvini?
Sasa kama wewe mwenyewe kama ulivyosema huyo jirani yako humjui hata jina lake!
Sasa ulishindwa nini kumpasulia LIVE kuwa pamoja na kuwa nyinyi ni majirani, lakini ujirani huo una mipaka yake, vipo vitu vya kushare, lakini vingine siyo vya kushare, vikiwemo hilo gari lako plus your wife/husband!!
umenikatisha tamaa nilitaka nije kuazima nikabebee bidhaa zangu za nusu bei ziko somewhere kwa muda lolGari sio kitu chakuazima bana bora nikupe nauli ya tax
Niazime gari wiki ijayo nina harusi...
ahhaaha kama guest???
kwako wewe gari la mkopo ni sh ngapikigari cha million 7 tu mpaka upate mkopo? basi ujuwe unafosi tu hujafikia uwezo wa kumiliki gari.
kigari cha million 7 tu mpaka upate mkopo? basi ujuwe unafosi tu hujafikia uwezo wa kumiliki gari.
Mkopo wa gari hata Sijaumaliza,halafu nikuazime ukatongozee wazaramo!!akyanani haiwezekani nakataa kabisa
hehehe, nitakupa contacts za rental car services, very reasonable rates.
aisee nilishakuwa na rafiki (RIP buddy), ananunua gari kali kweli, miezi miwili mingi, mzinga written off. Happened 3 times na magari 3 tafauti. Nilikuwa namshangaa akianza kuazima gari. Yaani moyoni nasema una akili sawasawa wewe? Alikuwa anatoka mswaki kila siku hehehe
Badala yake anunue Toyo mbili na San lg moja atese town huku akila vichwa.
umenikatisha tamaa nilitaka nije kuazima nikabebee bidhaa zangu za nusu bei ziko somewhere kwa muda lol
Kwa hiyo we umeona WAZARAMO ndo wanatongozwa kwa magari? Shika adabu yako!
Kutoka hapo ulipo mpka huko tax shingapi?
Elfu 60
TU??? Nakupa na usumbusu 40 kwaio unanidai 100,000
Kutoka hapo ulipo mpka huko tax shingapi?
TU??? Nakupa na usumbusu 40 kwaio unanidai 100,000
Mkopo wa gari hata Sijaumaliza,halafu nikuazime ukatongozee wazaramo!!akyanani haiwezekani nakataa kabisa