Mwana Ilala
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 1,286
- 488
Kumuazimisha Mtu Gari, Ni sawa na kumuazimisha Mtu Mkeo, Kwani hasara ni Nyingi kuliko Faida.Ni kweli huwezi kujua shughuli Maalumu ya Huyo rafikio,anaweza kwenda kupakilia Meno ya Tembo au akaenda kufanyia tukio Mtaani, au hata akamgonga Mtu Bahat mbaya.na kama ilivyo,Vitu vya kuazima sijui kwa nn watu wanakuwa na mbwembwe navyo. Mara nyingi huendesha kwa Maspeed ya mbwembwe na kufukia Mashimo bila ya kujua gharama ya Vipuli.
Jirani yangu aliwahi kuniazima gari aende kwenye dili lake Mara Moja. Kumbe alikuwa na Mtoko na demu wake.akalala na Gari yangu Night Club, asubuh ilipofika ananirudishia gari saa mbili asubuh huku mm nkiwa nshachelewa kwenda kazini. Na gari alikuwa ameigonga Nyuma. Nilisikitika sana. Tangia hapo ukawa ndio Mwisho wa kumuazima yoyote Gari. Ni afadhali umpatie 10,000 ya Taksi kuliko kmuazimisha mtu Gari yako.
Kitu Muhimu hawa wanaozima wasichokijua ni:
Gari sio Mafuta.Gari ikiwa inatembea Barabarani inakuwa na Mlolongo wa vitu vingi hadi unaiona inatembea Barabarani. Gari sio Mafuta tu. Hivyo unapoenda kuazima gari ya Mtu usifikirie kwamba Gari ni Mafuta Tu. Huwezi amini,kuna jamaangu eti ananipigia Simu kutaka kuazima gari ili akaangalie Mpira Eti Masaki. Inashangaza kwa Kweli. Kama Starehe unazipenda kwa nn usitafute na hela kwa ajili ya mambo yako ya Starehe Pia!????