huyu jamaa haeleweki,mbona hata Tv nyingine hazionyeshi hujalalamika.
Kuanzia leo sitatazama ITV, nimegundua tv hii ni ya kikanda, mikutano ya ACT haionekani katika taarifa zao za habari.
Tulikuwa na mkutano kibaha na mwembe yanga, lkn mikutano hii haijaonekana katika taarifa zake za habari.
Si hivyo tu, tulikuwa na mikutano mikubwa Mbeya, Tabora, Kigoma, na Shinyanga, huenda huko kulikuwa mbali lakini hata wa mailimoja kibaha? Yaan hata hapa MwembeYanga?
Hichi chombo sio huru na kiko kwa mlengo mbaya, mlengo wa kutugawa watanzania. Ni ajabu mmliki wa chombo hichi kupigania uhuru wa habari ikiwa yeye mwenyewe hatoi uhuru kwa wanahabari wanaofanya katika vyombo vyake.
Njano5.
762845394
784845394
Jamaa wana wabagua sana ACT......! Huu ni ukweli na wanatakiwa wabadilike na nitawatumia email kuwauliza kwanini hawaoneshi habari za ACT?
Kuanzia leo sitatazama ITV, nimegundua tv hii ni ya kikanda, mikutano ya ACT-Wazalendo haionekani katika taarifa zao za habari.
Tulikuwa na mkutano Kibaha na Mwembe yanga, lkn mikutano hii haijaonekana katika taarifa zake za habari.
Si hivyo tu, tulikuwa na mikutano mikubwa Mbeya, Tabora, Kigoma, na Shinyanga, huenda huko kulikuwa mbali lakini hata wa Mailimoja Kibaha? Yaan hata hapa MwembeYanga?
Hichi chombo sio huru na kiko kwa mlengo mbaya, mlengo wa kutugawa watanzania. Ni ajabu mmliki wa chombo hichi kupigania uhuru wa habari ikiwa yeye mwenyewe hatoi uhuru kwa wanahabari wanaofanya katika vyombo vyake.
Njano5.
762845394
784845394
Yaani TV ya maana kama ITV iache kutangaza tukio la kihistoria la kutawazwa Mwinyikambi shujaa Dr Slaa wakatangaze mkutano wa wasaliti vibaraka wa CCM?
Come on!!!!!
Wakitangaza mikutano ya CCM inatosha kwasababu ni baba yenu nyie watoto
Sijakuelewa hoja yako inalenga nini zaidi.Kwa kuwa unambeza mengi tuambie wewe umelifanyia nini taifa la Tanzania na watu wote wakakubali.
Ukijibu hoja hiyo nitaunganisha mawazo.kumbuka JF ni sehemu ya great thinkers na si kuja na umbea wa mtaani tu.
Jenga hoja!!!
Idadi ya Waislam wanaoshinda na njaa kutwa nzima huku wakijiaminisha kua wamefunga ni wengi Sana, hawa ni wale ambao Jehanam wao watakua ndio KUNI wa hilo tanuri.Wachagga ni kuliko wadosi. Ulikuwa haujuwi hilo?
Ushamuona mchagga ananunuwa maji ya Uhai?
Kwani uliwalipa hela watangaze mkutano wenu, kama una shida na hao ACT wako ungeenda mwembe yanga
Kuanzia leo sitatazama ITV, nimegundua tv hii ni ya kikanda, mikutano ya ACT-Wazalendo haionekani katika taarifa zao za habari.
Tulikuwa na mkutano Kibaha na Mwembe yanga, lkn mikutano hii haijaonekana katika taarifa zake za habari.
Si hivyo tu, tulikuwa na mikutano mikubwa Mbeya, Tabora, Kigoma, na Shinyanga, huenda huko kulikuwa mbali lakini hata wa Mailimoja Kibaha? Yaan hata hapa MwembeYanga?
Hichi chombo sio huru na kiko kwa mlengo mbaya, mlengo wa kutugawa watanzania. Ni ajabu mmliki wa chombo hichi kupigania uhuru wa habari ikiwa yeye mwenyewe hatoi uhuru kwa wanahabari wanaofanya katika vyombo vyake.
Njano5.
762845394
784845394
act ndiyo nini wewe? toa uharo wenu hapa!
hamna hadhi ya kuonyeshwa na ITV
habar za act na itv wap na wap waende kwa tbccm zitarushwa
Huyu jamaa hajui kuwa TV stations nyingi sasa hivi hazitangazi mambo ya kijinga.