Kuanzia sasa sitatazama ITV

Kuanzia sasa sitatazama ITV

Dotto C. Rangimoto

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
1,985
Reaction score
1,286
Kuanzia leo sitatazama ITV, nimegundua tv hii ni ya kikanda, mikutano ya ACT-Wazalendo haionekani katika taarifa zao za habari.

Tulikuwa na mkutano Kibaha na Mwembe yanga, lkn mikutano hii haijaonekana katika taarifa zake za habari.

Si hivyo tu, tulikuwa na mikutano mikubwa Mbeya, Tabora, Kigoma, na Shinyanga, huenda huko kulikuwa mbali lakini hata wa Mailimoja Kibaha? Yaan hata hapa MwembeYanga?

Hichi chombo sio huru na kiko kwa mlengo mbaya, mlengo wa kutugawa watanzania. Ni ajabu mmliki wa chombo hichi kupigania uhuru wa habari ikiwa yeye mwenyewe hatoi uhuru kwa wanahabari wanaofanya katika vyombo vyake.

Njano5.
762845394
784845394
 
Nyie ni wafu waliokufa na kuoza,Channel ten ni ya Mwami?
Kwanza ITV hawana haja na vihabari venu,Wakisharusha za wame zenu Ccm bhasii maana mnaishi getto moja.
 
Nyie ni wafu waliokufa na kuoza,Channel ten ni ya Mwami?
Kwanza ITV hawana haja na vihabari venu,Wakisharusha za wame zenu Ccm bhasii maana mnaishi getto moja.
Duh! Hili jukwaa great thinkers basi tena.
 
ACT ni kitu gani kwani. sasa hiyo ITV ulichangia shilingi ngapi kuianzisha na kuiendesha? wewe ulizia TBC sio TV ya mtu
CHADEMA na MENGI mmechokozwa, mmpumlie , ila alichokisema kina ukweli fulani.
 
Sasa kama hamjawaalika watakujaje huko? Ach uzushi wewe? Mbona ya ccm wanatangaza.
Sijaelewa huu ulinganifu unakujaje? Mbona ya CCM wanaonesha? Unataka kutuambia wenye haki mikutano yao kuoneshwa na ITV ni CHADEMA hawa wengine wanafanya kama bahati tu?
 
Dotto C. Rangimoto

Kuonesha mikutano ya kisiasa na maamuzi tu ya chombo husika! Kama siku hiyo kuna matukio mengine muhimu ya kijamii sio lazima waoneshe matukio ya kisisa tu! Huwezi kuwapangia waoneshe unachotaka wewe! Kama huangalii ni wewe tu na huna impact yeyote kwa chombo hicho, mbona hulalamikii SIBUKA
MAISHA nayo ni TV eti?
 
Last edited by a moderator:
...act ni kitu gani hapa Tanzania ? mnadai airtime kama vile ni kitu cha maana sana. Mwambieni fisadi awape bajeti mpya mlipie airtime hamna hadhi ya kwenda hewani kwa free. act ni sawa na chauma, umiseta, chaneza, umishumta,appt maendeleo n.k....
 
Wakitangaza mikutano ya CCM inatosha kwasababu ni baba yenu nyie watoto
 
Huko mikoani mliwawezesha waandishi wa ITV? Huo mkutano wa Zitto ulikuwa upo kibiashara Kama je mlilipa matangazo ITV? Zitto kashakwisha hauziki tena,uzeni land cruiser mkonga moja mulipie vipindi radion na kwenye tv.
 
Act ni chama kilichoanzishwa na wakurupukaji, watu waliokata tamaa ya maisha ya kisiasa, watu waliopaniki.

Mikutano ya chama hiki haina content za kurushwa kwa tv yenye hadhi ya itv.
 
Back
Top Bottom