Kuanzia sasa sitatazama ITV

Kuanzia sasa sitatazama ITV

We we una matatizo , kama unataka mikutano kama ile ya Tunduma imejaa u-tube , laiti wangelionesha mikutano yote huyo msaliti angeliaibika kuzomewa kama mwizi, eti mwembe yanga anataja majina sisi siyo wajinga kakurupuka na majina ya wahindi na warabu , akiangalia vibaya atapoteza kila kitu
 
Sa umeweka namba za nn!?
Ulitegemea kuuza sura kwa wife na watoto?!
 
Lkn wananchi wanahaki ya kupata habari
Wanayo haki na habari wanapata. ila sidhani kila mtu atapata habari anayotaka kupata kutoka chombo kimpja tu cha habari. Ni muhimu kuangalia vyombo mbali mbali ili kupata mkusanyiko wa habari unazotaka. Vingnevyo vituo vitakuwa na taarifa za habari ndefu kamaa masaa matatu hivi...
 
Ziko TV nyingi Tanzania mmeiona ITV tu,je hizo TV nyingine zote zilimwonyesha YUDA ISKARIOTI live akitaja mafisadi wenzie walioficha fedha ughaibuni?
CHADEMA na MENGI mmechokozwa, mmpumlie , ila alichokisema kina ukweli fulani.
 
Nimesha watumia emai kupitia infor@itv.co.tz na nimeona tuwambie ukweli ili wabadilike na watende haki!

Wana wabagua ACT hadi wana tia aibu kabisa halafu wanataka kutudanganya kuwa wana tenda haki kwa habari zote wakati tuna ona hawatendi haki kabisa!

ITV mnatakiwa kujua hii ndio jf huwa hatukwepeshi kuwapa hamsini zao watu wanapo potoka sasa pokeeni hizi shilingi zenu na mbadilike tuna hitaji kuone mkitenda haki kwa kutoa habari kwa usawa sio mna hubiri tuu haki halafu haki haionekani ikitendeka!

ITV tunaomba mjirekebishe haraka iwezekanavyo!

Bora ulivyowaambia wajifunze kutenda haki ktk kurusha habari zao.
Vinginevyo tuzawapotezea.
 
ITV wamerusha habari gani ukitoa hizo nilizo zisema?

Mimi ninacho ipendea jf halelewi mtu hapa kila mtu akileta ujinga anapewa hamsini zake na hizi ziwafikie ITV na wajirekebishe lasivyo watafunga biashara kwa kukosa watazamaji...

Habari za uzinduzi mkutano Wa tabora walirusha na zito ashawai kufanya maojiano IPP sema habari za ATC azina mshiko Kwa taifa mkubali
 
act mna habari gani ya kuonyeshwa na chombo THE SUPERBRAND ITV? ninyi mlikubali kutumwa na ccm ili mkapambane na WAPINZANI, sasa habari zenu si mkapeleke TBCCM?
 
Mleta mada tambua kuwa ITV ni chombo kinachojiendesha chenyewe, hakitumii kodi us Watanzania hivyo kurusha au kutorusha habali Fulani inategemea utashi WA mmilki wake.Ingekuwa vema kama ungehoji kuhusu TBC1 NA SIO ITV,STAR TV,AZAM TV NA CLOUDS TV
 
WEWE kweli kobe...unailalamikia ITV kwani unaiendesha kwa pesa yako?

Kailalamikie TBC ambayo inaendeshwa kwa kodi yako

Mbona CHADEMA haioneshwi TBC ilihali ni haki yao lakini hawalalamiki........

Mkuu umesahau kuwa kutoitazama TBC ilikuwa ni moja ya maazimio ya kamati kuu ya CHADEMA iliyokaa chini ya uenyekiti wa MBOWE?
 
Kuanzia leo sitatazama ITV, nimegundua tv hii ni ya kikanda, mikutano ya ACT-Wazalendo haionekani katika taarifa zao za habari.

Tulikuwa na mkutano Kibaha na Mwembe yanga, lkn mikutano hii haijaonekana katika taarifa zake za habari.

Si hivyo tu, tulikuwa na mikutano mikubwa Mbeya, Tabora, Kigoma, na Shinyanga, huenda huko kulikuwa mbali lakini hata wa Mailimoja Kibaha? Yaan hata hapa MwembeYanga?

Hichi chombo sio huru na kiko kwa mlengo mbaya, mlengo wa kutugawa watanzania. Ni ajabu mmliki wa chombo hichi kupigania uhuru wa habari ikiwa yeye mwenyewe hatoi uhuru kwa wanahabari wanaofanya katika vyombo vyake.

Njano5.
762845394
784845394

TBC, Star TV, Channel 10 na wengineo waliwaonesha? mnalipia uendeshaji wa ITV mpaka muwapangie cha kuonesha?
 
Mkuu umesahau kuwa kutoitazama TBC ilikuwa ni moja ya maazimio ya kamati kuu ya CHADEMA iliyokaa chini ya uenyekiti wa MBOWE?

Ndio ...yalikua na yako hivyo.......

Lakini ilitokea hivyo baada ya TBC ambayo inaendeshwa kwa kodi yangu kushindwa kurusha matukio ya chama chetu
 
Kuanzia leo sitatazama ITV, nimegundua tv hii ni ya kikanda, mikutano ya ACT-Wazalendo haionekani katika taarifa zao za habari.

Tulikuwa na mkutano Kibaha na Mwembe yanga, lkn mikutano hii haijaonekana katika taarifa zake za habari.

Si hivyo tu, tulikuwa na mikutano mikubwa Mbeya, Tabora, Kigoma, na Shinyanga, huenda huko kulikuwa mbali lakini hata wa Mailimoja Kibaha? Yaan hata hapa MwembeYanga?

Hichi chombo sio huru na kiko kwa mlengo mbaya, mlengo wa kutugawa watanzania. Ni ajabu mmliki wa chombo hichi kupigania uhuru wa habari ikiwa yeye mwenyewe hatoi uhuru kwa wanahabari wanaofanya katika vyombo vyake.

Njano5.
762845394
784845394

Kumbuka ITV ni chombo binafsi,sio chombo cha Umma kama TBC,nafikiri malalamiko yako yangekuwa na mashiko zaidi kama yangekuwa yanahusu chombo cha Umma kama TBC ambayo inaendeshwa kwa kodi ya Wananchi

Lakini kwa ITV kama chombo kinachojiendesha kwa kutegemea faida huwezi kuwalazimisha kuonyesha habari ambayo wanahisi haina maslahi kwao,japo inaweza kuwa na maslahi kwa umma
 
Back
Top Bottom