Kuanzia sasa sitatazama ITV

Kuanzia sasa sitatazama ITV

Kwa habari ile ya majina yasiyoeleweka ya wahindi na MTU alishahapa kiapo kusema hana jina wala account tena mbele ya kamati na mwanasheria mkuu ulitaka wawatangazie habari za unafiki watanzania kuwa zito katoa majina ya uswiss alioapa kwa kiapo na kusema hana ITV ni superbrand lazima watangaze habari za uwakika na sio za unafiki na uongo

Hapa hatuongelei kuhusu hayo majina tunaongelea habari nyingine za ACT....hawa ACT walifanya mikutano karibu nchi nzima ..tukiacha mkutano wa Dar ambao kwa sababu za kibiashara ITV wasinge tangaza ni mkutano gani tukitoa ule wa ufunguzi wa ACT ambao ITV wame wahi kutujuza?

ITV kwa hili lazima tuhoji kabisa huo uhuru na usawa wanao uongea ni upi?
 
Sasa mnataka wawaonyesheni mnavyozomewa!?
Watu wanawafichieni aibu badala ya kushukuru mnabaki mnalalama...ebwoo!!
 
Hapa hatuongelei kuhusu hayo majina tunaongelea habari nyingine za ACT....hawa ACT walifanya mikutano karibu nchi nzima ..tukiacha mkutano wa Dar ambao kwa sababu za kibiashara ITV wasinge tangaza ni mkutano gani tukitoa ule wa ufunguzi wa ACT ambao ITV wame wahi kutujuza?

ITV kwa hili lazima tuhoji kabisa huo uhuru na usawa wanao uongea ni upi?
Sio kweli ITV wamerusha habari moja ya ATC wamerusha habari nyingine tatizo atc wanataka habari zao zirushwe sawa na ccm au cuf au chadema wakati kuna vyama avijawahi kupewa kipaumbele na vina mbunge sio habari zote za ccm chadema au cuf zinarushwa na ITV naomba uelewe
 
Mengi atakua hatumii akili kama anaweza kurusha habari za mtu aliyekwenda kwa JK kumfitinisha, kuna wakati Fulani waandishi wa habari waliwahi kua na mgogoro na mkuu wa mkoa wa Morogoro kipindi cha Mkapa, na pia waliwahi kua na mgogoro na waziri 1 hivi, jina na wizara yake vimenitoka pia kipindi cha Mkapa, waandishi wa habari wale walimuwekea mgomo wa kutotangaza wala kuandika habari zake, kwa majigamboa makubwa waziri yule akasema serikali inavyo vyombo vingi tu vya habari, magazeti, radio na TV; ndani ya mwezi 1 aliomba msamaha na still waandishi hawakuandika na kutangaza habari za matukio ambayo yeye ni inclusive, alipotea kabisa katika ulimweungu wa siasa; nachotaka kusema hapa ni hiki, wewe unaishi nyumba ya vioo halafu unapenda sana ugomvi wa kurushiana mawe, hivi ukizidiwa na wagomvi wako utakimbilia wapi kama sio nyumbani kwako?

KAbla ya kuilaumu ITV, fikiria historia ya kiongozi mkuu wenu na uhusiano wa mmiliki wa hiyo TV ya taifa, ukipata jibu basi usilaumu hayo yanayowatokea, ulichopanda ndicho utakacho kivuna Dotto. Ukiwa mwanasiasa, ninakushauri acha kabisa ugomvi usiokuwa wa lazima na either waandishi wa habari au wa wamiliki wa vyombo vya habari.

(Nimesema ugomvi usiokua wa lazima) Vinginevyo utaendelea kulaumu upepo, mwasiasa yeyote anategemea sana waandishi wa habari cause hao ndio wanauwezo wa kufika mahali ambako nyine hamuwezi kufika.
 
ha ha ha ha.....yaani waache kurusha matatizo ya wanainchi kwa mda mrefu kwenye ardhi...halafu wakupe wewe msaliti unayewalaghai watz kwa kutoa majina ya walioficha pesa zao uswis majina ya vijogoo ya mapapa yote umeyatoa.....ha ha kwa hilo acha tu kuangalia tv ya taifa baba....
 
Mmesahau kiongozi wenu Zitto alipokwenda kumchongea Mengi kwa Kikwete? Leo mnataka media zake ziwarushie mikutano yenu?
Niliwahi kuwaambia kuwa hizo tabia za kiongozi wao za kuwa kama kavaa kanga, uongouongo, fitina na ukigeugeu akafanyie huko kwao Mwandiga, hapa mjini atakipa shida chama chao.
Ndio mambo yameanza hivyo, naona hata Kitila kama kaanza kushtuka hivi
 
Kuanzia leo sitatazama ITV, nimegundua tv hii ni ya kikanda, mikutano ya ACT haionekani katika taarifa zao za habari.

Tulikuwa na mkutano kibaha na mwembe yanga, lkn mikutano hii haijaonekana katika taarifa zake za habari.

Si hivyo tu, tulikuwa na mikutano mikubwa Mbeya, Tabora, Kigoma, na Shinyanga, huenda huko kulikuwa mbali lakini hata wa mailimoja kibaha? Yaan hata hapa MwembeYanga?

Hichi chombo sio huru na kiko kwa mlengo mbaya, mlengo wa kutugawa watanzania. Ni ajabu mmliki wa chombo hichi kupigania uhuru wa habari ikiwa yeye mwenyewe hatoi uhuru kwa wanahabari wanaofanya katika vyombo vyake.

Njano5.
762845394
784845394

Lipia kipindi, kodi yako haiendeshi itv, vinginevyo kalalamikie tbc raifa huko ndo wanatumia paye yako.
 
Kuanzia leo sitatazama ITV, nimegundua tv hii ni ya kikanda, mikutano ya ACT haionekani katika taarifa zao za habari.

Tulikuwa na mkutano kibaha na mwembe yanga, lkn mikutano hii haijaonekana katika taarifa zake za habari.

Si hivyo tu, tulikuwa na mikutano mikubwa Mbeya, Tabora, Kigoma, na Shinyanga, huenda huko kulikuwa mbali lakini hata wa mailimoja kibaha? Yaan hata hapa MwembeYanga?

Hichi chombo sio huru na kiko kwa mlengo mbaya, mlengo wa kutugawa watanzania. Ni ajabu mmliki wa chombo hichi kupigania uhuru wa habari ikiwa yeye mwenyewe hatoi uhuru kwa wanahabari wanaofanya katika vyombo vyake.

Njano5.
762845394
784845394

Kumbuka kile ni chombo kinachojiendesha kibiashara na hakipo pale kutimiza matakwa yako ya kisiasa au kukidhi kiu yako ya kisiasa. Kwanin hukuleta data idadi ya mikutano ya TLP, NLD, ATTP, CHAUSTA ambayo ITV au vituo vingine vimerusha au tu kwa sababu Zitto yupo ACT na unampenda ndio lazima mikutano yao irushwe kama wanavyofanya kwa CCM, CDM, CUF na NCCR ambavyo tayari vinajulikana? Kumbuka umri wa ACT ni mdogo sana kulinganisha na NLD hivyo kusema huangalii kisa mikutano ya ACT hainyeshwi itakuwa ni uvivu wa kufikiri.

Kumbuka ACT wanatambulisha chama hawawezi kutumia mgongo wa ITV kujulikana wakati wenzao wapo kibiashara and they need real money, remember hakuna kodi yako inayokwenda ITV ila ipo kodi yako inayokwenda ACT kwa ruzuku toka serikalini. Hivyo ITV kwa sasa ni kama maji ya kisima..!
 
Walionyeshwa watiania wa CCM karibu wote isipokuwa Prof Muhongo. Mzee Mengi anadhibiti vibaya vyombo vyake vya habari.
 
Kwani uliwalipa hela watangaze mkutano wenu, kama una shida na hao ACT wako ungeenda mwembe yanga
 
Kwani wakishatangaza habari za CCM si inatosha? Nyie wote si ndugu?
 
Shoga zenu CCM wanawalipa waandishi na wahandisi wa habari na kutembea nao nchi nzima.sasa nyie kaeni msubiri vya bure mpaka mwisho wa dunia

Hakika umempa za uso huyo kibaraka wa CCM
 
Back
Top Bottom