Wewe unafikiri uhuru ni kuonyesha habari zote hata kutoonyesha ni uhuru vilevile.Uhuru huo anao Mangisina na si wafanyakaZ
ITV ni superbrand,wanatangaza habari zenye maslahi kwa Taifa,sio vihabari vyenu vya kuchelewesha mabadiliko Tanzania,hata usipoangalia wewe wataangalia wenye akili timamu,nenda zako TBCCM.
Mkuu ndo unaelewa leo? Itv ni chombo kinachoonesha habari za kichochezi tu. Endapo kuna siku mtapigwa mawe kwenye mikutano yenu ndo ataonesha na si kwa mazuri. Mangicdm yupo kwa ajil ya kaskazin chimbuko la cdm. Eti ndo anapgania uhuru wa vyombo vya habari wakati yeye mwenyewe hatoi haki. Kuoa wajukuu uzeeni ni tatizo mno. Angeenda hata kaskazini hukohuko angepata wamama wazuri tu wenye heshima zao.
...act ni kitu gani hapa Tanzania ? mnadai airtime kama vile ni kitu cha maana sana. Mwambieni fisadi awape bajeti mpya mlipie airtime hamna hadhi ya kwenda hewani kwa free. act ni sawa na chauma, umiseta, chaneza, umishumta,appt maendeleo n.k....
ITV huwa wanakuwepo kw mikutano yenu, hata ile ya mbali huwa wanatuma muwakilishi.
Tatizo huwa hawapati cha kuripoti.
Au ulitaka warushe majina ya kina Amita Bachan
mjini ni akili tuu babaaa,nyie rudini kigoma mkageme mawese tuu!,huku tuachieni sisi tunaojua kazi ya pesa,chapaa,mapene,cash
siku zoteeee ulikuwa hujui tusiombee mabaya siku nchi hii amani ikitoweka mtu wa kwanza kupeleka mahakama ya kimataifa ni vyombo vya habari vya ipp pamoja na mengi wake.
japo wengine watabisha lakini ukweli ndio huo
Mengi ni moja ya watu wanaoleta mgawanyiko wa watu Tanzania. Anajitahidi aonekane mwema ila siku zinavyozidi watu wanamshitukia.
Amekaa kimaslahi sana na biashara zake. Mwisho atakuwa anauwezo wa kutuamlia Watanzania.
Kaa chonjo!!