rallphryder
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 3,630
- 1,444
mbona tbc hawarushi mikutano ya ukawa?ila ya act inarushwa.
Acha uongo, mikutano ya chadema inarushwa sana tu tbc
mbona tbc hawarushi mikutano ya ukawa?ila ya act inarushwa.
Acha, tutaangalia sisi, ina maana hujui kuwa supreme leader wenu alimfanyia umbea mengi kwa kikwete?Kuanzia leo sitatazama ITV, nimegundua tv hii ni ya kikanda, mikutano ya ACT-Wazalendo haionekani katika taarifa zao za habari.
Tulikuwa na mkutano Kibaha na Mwembe yanga, lkn mikutano hii haijaonekana katika taarifa zake za habari.
Si hivyo tu, tulikuwa na mikutano mikubwa Mbeya, Tabora, Kigoma, na Shinyanga, huenda huko kulikuwa mbali lakini hata wa Mailimoja Kibaha? Yaan hata hapa MwembeYanga?
Hichi chombo sio huru na kiko kwa mlengo mbaya, mlengo wa kutugawa watanzania. Ni ajabu mmliki wa chombo hichi kupigania uhuru wa habari ikiwa yeye mwenyewe hatoi uhuru kwa wanahabari wanaofanya katika vyombo vyake.
Njano5.
762845394
784845394
Kwanini hawaoneshi habari za ACT? Kama wana hitaji pesa kurusha habari bora waseme...
Hii habari iwafikie na nime watumia email infor@itv.co.tz nasubiri wanijibu hututaki huu ujinga wa kubagua habari.....!
Sasa Mueleweshe msukule mwenzio aliyesema kuwa CHADEMA haikuwahi kulalamika kuhusu TBC.Ndio ...yalikua na yako hivyo.......
Lakini ilitokea hivyo baada ya TBC ambayo inaendeshwa kwa kodi yangu kushindwa kurusha matukio ya chama chetu
Nimesha watumia emai kupitia infor@itv.co.tz na nimeona tuwambie ukweli ili wabadilike na watende haki!
Wana wabagua ACT hadi wana tia aibu kabisa halafu wanataka kutudanganya kuwa wana tenda haki kwa habari zote wakati tuna ona hawatendi haki kabisa!
ITV mnatakiwa kujua hii ndio jf huwa hatukwepeshi kuwapa hamsini zao watu wanapo potoka sasa pokeeni hizi shilingi zenu na mbadilike tuna hitaji kuone mkitenda haki kwa kutoa habari kwa usawa sio mna hubiri tuu haki halafu haki haionekani ikitendeka!
ITV tunaomba mjirekebishe haraka iwezekanavyo!
Kwani TBC walionesha mikutano yenu ya ACT?Za ccm zenyewe zinapewa promo za lowasaa.
Sisi ITV tunakiri kuipokea E Mail yako na tumeipuuza kama tunavyopuuza upuuzi mwingine.
Ahsante kwa kuangalia ITV.
Sasa Mueleweshe msukule mwenzio aliyesema kuwa CHADEMA haikuwahi kulalamika kuhusu TBC.
Uhuru huo anao Mangisina na si wafanyakaZ