na hao wanaotuzuga majina yao haya hapa
1.Dr. Emmanuel Nchimbi
2.Dr. Mathayo David Mathayo
3.Dr Getrude Rwakatare
4.Dr. Mary Nagu
5.Dr. Makongoro Mahanga
6.___________________
7.___________________
8.
hongera mheshimiwa Dr Amaan Abeid Karume kutunikiwa shahada ya udaktari Phd.akina mbowe,mwanakijiji na mnyika mpaka leo hata degree hawana.hii inadhihirisha kuwa zanzibar bado inaongozwa na marais wasomi.
Wahandisi wa Bongo ndio zenu. Hizo Titles mnazihusudu kupita kiasi.
Sisemi hazina maana hata kidogo, la hasha. Ila ninyi mmepitiliza bwana hata post yako inadhihirisha hili, it is obvious kipi kikufurahichasho.
.
Yaani wewe umetutukana wote, waliomo na wasiokuwemo.
Mzee Gembe, nakuongezea orodha ya viongozi wasanii wanaojiita "Dr" wakati ni vihiyo:na hao wanaotuzuga majina yao haya hapa
1.Dr. Emmanuel Nchimbi
2.Dr. Mathayo David Mathayo
3.Dr Getrude Rwakatare
4.Dr. Mary Nagu
5.Dr. Makongoro Mahanga
6.___________________
7.___________________
8.
jiunge kwenye msafara.. and don't be so sure.. wengine hawapigi panda!!
Wahandisi wa Bongo ndio zenu. Hizo Titles mnazihusudu kupita kiasi.
Sisemi hazina maana hata kidogo, la hasha. Ila ninyi mmepitiliza bwana hata post yako inadhihirisha hili, it is obvious kipi kikufurahichasho.
.
Wahandisi ndio walengwa hapa. Ninaamini kauli kama hii umewahi kuisikia kabla.
Nimejaribu kuzungumza kile nilichokiona katika mazingira niliyowahi kufanya kazi na wahandisi, lengo sio kumtusi mtu.
Wewe lazydog, siyo jina tu, wewe lazy kikweli. Nani kakuambia kama huyo Mohamed ni engineer, huoni kama hilo ni jina lake la mawasiliano? Mbona unawapotezea watu muda wao kusoma utmbo wako? Changia kile alichosema kwa hoja, siyo mashindano ya kipuuzi hapa.
ktk press conference ilofanyika leo hii hapa IKULU ZANZIBAR,muheshimiwa rais wa zanzibar amesema mengi kuhusu usaniiwa cuf n.k lakini kubwa amesema kuwa ametunukiwa shahada ya heshima ya udaktari na chuo kimoja huko usa.
JF members......naomba kuanzia leo mheshimiwa rais wa zanzibar tuwe tunamuita Mheshimiwa Dr AMANI ABEID KARUME.
Eheee kweli ! naona sasa hivi PHD na shahada za kuitwa Dr. zinagawiwa kama njugu za kuonja si ajabu hata mimi mwaka huu nikachukua