Kuanzia leo anaitwaa Mheshimiwa Dr.AMANI ABEID KARUME.....

Yap, huyu ni sasa ni Mhe. Dr. A. A. Karume - hivi kule OUT kamaliza?
 
na hao wanaotuzuga majina yao haya hapa

1.Dr. Emmanuel Nchimbi
2.Dr. Mathayo David Mathayo
3.Dr Getrude Rwakatare
4.Dr. Mary Nagu
5.Dr. Makongoro Mahanga
6.___________________
7.___________________
8.

Dr. Matunge
Dr. Idd Amin Dadaa
Dr. Kitandula (Mnajimu)
 
hongera mheshimiwa Dr Amaan Abeid Karume kutunikiwa shahada ya udaktari Phd.akina mbowe,mwanakijiji na mnyika mpaka leo hata degree hawana.hii inadhihirisha kuwa zanzibar bado inaongozwa na marais wasomi.

jiunge kwenye msafara.. and don't be so sure.. wengine hawapigi panda!!
 
Wahandisi wa Bongo ndio zenu. Hizo Titles mnazihusudu kupita kiasi.
Sisemi hazina maana hata kidogo, la hasha. Ila ninyi mmepitiliza bwana hata post yako inadhihirisha hili, it is obvious kipi kikufurahichasho.



.

Yaani wewe umetutukana wote, waliomo na wasiokuwemo.
 
Yaani wewe umetutukana wote, waliomo na wasiokuwemo.

Wahandisi ndio walengwa hapa. Ninaamini kauli kama hii umewahi kuisikia kabla. :)

Nimejaribu kuzungumza kile nilichokiona katika mazingira niliyowahi kufanya kazi na wahandisi, lengo sio kumtusi mtu.
 
Unapokuwa Daktari, hupiti kuwatangazia wagonjwa wako kuwa wewe ni daktari na kuwa lazima uitwe kwa heshima hiyo au taji hilo la udaktari. Kwa vitendo vyako, watu wenyewe watakuita hivyo.

Mwalimu JULIUS kAMBARAGE NYERERE alipewa shahada za udaktari za namna hiyo zisizopungua 20 (ishirini). Lakini, hatukuambiwa hata siku moja kwamba "kuanzia leo anaitwa Mheshimiwa Dr. Julius Kambarage Nyerere."

Hii inatudhihirishia tofauti kati ya msomi wa kweli na msomi bandia. Msomi bandia, mara nyingi huwa limbukeni kwa tuzo kama hizo. Naam, limbukeni hana siri. Sitashangaa kusikia asiyemwita DR ataadhibiwa.
 
na hao wanaotuzuga majina yao haya hapa

1.Dr. Emmanuel Nchimbi
2.Dr. Mathayo David Mathayo
3.Dr Getrude Rwakatare
4.Dr. Mary Nagu
5.Dr. Makongoro Mahanga
6.___________________
7.___________________
8.
Mzee Gembe, nakuongezea orodha ya viongozi wasanii wanaojiita "Dr" wakati ni vihiyo:
6. Dr. Deodarus Kamala
7. Dr. Didas Masaburi (mdogo wake "Dr" Makongoro Mahanga. Hawa walizinunua Ph.D feki siku moja)
8. Dr. Sigonda
9. Dr. Norman Sigala
10. _______________________
11. _________________________

Anayewajua wengine aongeze orodha. Mimi nimesoma na baadhi yao. "Dr."Nchimbi alipata huo udaktari kabla hata ya kupata Post Graduate Diploma ya Mzumbe! Sijui kama keshapata maana hata darasani alikuwa "Maimuna". Lazaros
 
Wahandisi wa Bongo ndio zenu. Hizo Titles mnazihusudu kupita kiasi.
Sisemi hazina maana hata kidogo, la hasha. Ila ninyi mmepitiliza bwana hata post yako inadhihirisha hili, it is obvious kipi kikufurahichasho.



.

Wahandisi ndio walengwa hapa. Ninaamini kauli kama hii umewahi kuisikia kabla. :)

Nimejaribu kuzungumza kile nilichokiona katika mazingira niliyowahi kufanya kazi na wahandisi, lengo sio kumtusi mtu.


wewe umefanya kazi na WAHANDISI au WAANDISHI
 
Bado yeye ni yule yule, Amani Abeid Amani Karume aliyepewa madaraka kwa uzi uliopo na unaofanya kazi. Sijamuona na jipya lolote ambalo atakapoondoka hapo madarakani, hata hao anaowaita wazanzibari, watamkumbuka nalo. Kwa maadili rahisi ya wazanzibari Amani hakubaliki, ni unafiki tu wa CCM unaowafanya kukubaliana naye hapo majukwaani. Tunakumbuka kama Bilal alizuiliwa kupeleka jina lake kwa ajili ya kugombea huo urahisi wa Unguja. Kila kunapokucha fani zimekuwa zikiongezeka hapa ulimwenguni, hat fani za kimbumbumbu zinapatikana siku hizi. Hata hicho chuo kilichotoa hiyo PhD ya urafiki hatuishangai kwa sababu wote wanaotajwa kuwa na udaktari wa falsafa feki wanazipata huko huko. Akitaka kuonesha hiyo heshima aliyopewa afanye kazi ambayo wazanzibari watamkubali. Au naye anauza sehemu ya visiwa kama wenzake wanavyouza huku bara?
 
Wewe lazydog, siyo jina tu, wewe lazy kikweli. Nani kakuambia kama huyo Mohamed ni engineer, huoni kama hilo ni jina lake la mawasiliano? Mbona unawapotezea watu muda wao kusoma utmbo wako? Changia kile alichosema kwa hoja, siyo mashindano ya kipuuzi hapa.
 
Hizi PHD ni za namana gani kwani nimeona kuna wasomi wanazisotea kwa muda mrefu hawazipati. Au ni PHD za uzoefu wa kuhudhuria semina. Hebu acheni kuwaita DR ktk JF waitane na wake zao na watoto wao. Je wizara inawatamdua hawa kama wana PHD? Kuna chuo chochote kinawatambua hawa hapo bongo? Hebu niwekeni wazi kabla sijaanza utafiti wangu binafsi. Nini wamekifanya cha maana. OK PHD ya uwezo wa kupindua matokeo ya uchaguzi ok ok hii sawa lakini haiwezi kutambuliwa na wizara au chuo chochote bongo labda kaitka ofisi za CCM.
 
Wewe lazydog, siyo jina tu, wewe lazy kikweli. Nani kakuambia kama huyo Mohamed ni engineer, huoni kama hilo ni jina lake la mawasiliano? Mbona unawapotezea watu muda wao kusoma utmbo wako? Changia kile alichosema kwa hoja, siyo mashindano ya kipuuzi hapa.


Don't make assumptions.


.
 
ktk press conference ilofanyika leo hii hapa IKULU ZANZIBAR,muheshimiwa rais wa zanzibar amesema mengi kuhusu usaniiwa cuf n.k lakini kubwa amesema kuwa ametunukiwa shahada ya heshima ya udaktari na chuo kimoja huko usa.

JF members......naomba kuanzia leo mheshimiwa rais wa zanzibar tuwe tunamuita Mheshimiwa Dr AMANI ABEID KARUME.

Hizi Phd feki za kupewa bila mantiki maalumu zinanikera sana. Mtu hata form VI yenyewe alibp, halafu unakuja kumtangaza mbele ya watu waliosota miaka mitatu au zaidi katika vyuo kusaka ka-digrii kamoja as a Doctor..!!!..?? Ujinga huu, mimi nafikiri sasa inabidi heshima iwepo mbele ya watu wanaoupata u-Dr. kihalali, hii mambo ya watu kujiita ma-Dr. kwa kigezo cha heshima ni udumazaji na ukatishaji tamaa ya watu wanaosoma ili wapate hivyo vyeo.

Huu ni ufisadi wa kielimu..!! Phd za heshima nafikiri ziwe zinatolewa kutokana na education background. Kwa mfano mtu mwenye elimu ya primary asiweze pewa Phd, hata kama ni Rais wa dunia..!! I believe you all agree with me..!! Hivyo, mtu mwenye elimu ya kiwango fulani, for instance degree ndio at least afikiriwe, but it's much better iwe masters. Manake sasa huku kutolewa kwa Phd kwa kuangalia sura, ni kudharau na kudhalilisha wasomi..!! I hate it..!! The same should apply hata kwa digrii za heshima..!! Sio mtu alikimbia umande, kisha akapata uwaziri kwa uwezo wa yeye kupiga majungu, then anakuja pewa digrii...!! Plse heshima kwa wasomi itunzwe na sio kudhalilishwa..!! Dr. si cheo kidogo, ni cheo ambacho ukiitwa mbele ya watu, they will expect something special from you, not just siasa na umbea kwa kichama/ki-itikadi..!!

Hayo ni maoni yangu..!!
 
Eheee kweli ! naona sasa hivi PHD na shahada za kuitwa Dr. zinagawiwa kama njugu za kuonja si ajabu hata mimi mwaka huu nikachukua
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom