Kuanzia leo anaitwaa Mheshimiwa Dr.AMANI ABEID KARUME.....

Mtu wa Pwani

JF-Expert Member
Dec 26, 2006
4,172
2,000
ni kweli aliyeondoka Dr Salmin na huyu Dr Amani vile maalim Seif na yeye bado hajapata Dr ?
 
Gembe

JF-Expert Member
Sep 25, 2007
2,503
1,225
hongera mheshimiwa Dr Amaan Abeid Karume kutunikiwa shahada ya udaktari Phd.akina mbowe,mwanakijiji na mnyika mpaka leo hata degree hawana.hii inadhihirisha kuwa zanzibar bado inaongozwa na marais wasomi.
Hivi Mnyika hakumaliza Shule yake ya jioni pale Mlimani,nakumbuka kuna kipindi wakati namalizia shahada yangu ya Uzamili alikuwa akisoma pale BBA.

duh,shule ilimshinda??Mnyika weka CV yako,nimeanza kukumbuka maneno flani ambayo niliambiwa na Mzee mmoja wa siku nyingi kwamba vijana wote ambao hawapendi shule hukimbilia siasa mapema ili wakapige soga sababu hawana uwezo wa kitaaluma kuonyesha uwezo wao
 
Mwikimbi

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,762
2,000
HIVI UDAKTARI WA HESHINA HONORORIA CAUSA MNAOFAHAMU? ni lazima ufanye jambo linalotambulika kuwa mchango mkubwa kwa maendeleo ya jamii, amefanya lipi? kuna kigeugeu kikubwa cha marekani kuhusu zanzibar, ninaaamini wamarekani hawaipendi cuf, kwa kuwa mambo waliyofanyiwa cuf tangu 1995, ingekuwa nchi nyingine wamarekani wangekuw apale na manowari zao za kivita. huenda huyu waliyempa udaktari wa heshima ni taahira au ndondocha lao
 
Jamco_Za

JF-Expert Member
Jul 14, 2007
1,330
1,225
Jamani kuweni serious kitu muhimu kama hiki nyie mnaleta utani ndani yake, watu wameuliza je anaruhusiwa kujiita Dr. kwa honorary Phd, hakuna aliyejibu matokeo yake mnaanza utani.

Hakuna shaka wapemba na waunguja wengi ni wasomi wazuri sana lakini elimu yao inaishia kwenye siasa badala ya kuifanyia kazi kama inavyotakiwa.
 
Waridi

JF-Expert Member
Mar 30, 2008
1,027
1,250
HIVI UDAKTARI WA HESHINA HONORORIA CAUSA MNAOFAHAMU? ni lazima ufanye jambo linalotambulika kuwa mchango mkubwa kwa maendeleo ya jamii, amefanya lipi? kuna kigeugeu kikubwa cha marekani kuhusu zanzibar, ninaaamini wamarekani hawaipendi cuf, kwa kuwa mambo waliyofanyiwa cuf tangu 1995, ingekuwa nchi nyingine wamarekani wangekuw apale na manowari zao za kivita. huenda huyu waliyempa udaktari wa heshima ni taahira au ndondocha lao

Wamarekani walimpa Kikwete heshima ya namna hiyo sababu kubwa ikiwa ni kushinda uchaguzi kwa asilimia 80, huenda Karume kapewa kwa sababu ya uongozi wa miaka 8.
Namshauri asivimbe kichwa, atengeneze mambo yake ya kitaaluma pale open university ambako alijaribu kusoma degree ya kwanza, lakini mambo yakawa msobemsobe.
 
LazyDog

JF-Expert Member
Apr 10, 2008
2,475
1,195
hongera mheshimiwa Dr Amaan Abeid Karume kutunikiwa shahada ya udaktari Phd.akina mbowe,mwanakijiji na mnyika mpaka leo hata degree hawana.hii inadhihirisha kuwa zanzibar bado inaongozwa na marais wasomi.

Wahandisi wa Bongo ndio zenu. Hizo Titles mnazihusudu kupita kiasi.
Sisemi hazina maana hata kidogo, la hasha. Ila ninyi mmepitiliza bwana hata post yako inadhihirisha hili, it is obvious kipi kikufurahichasho..
 
RR

JF-Expert Member
Mar 17, 2007
6,901
2,000
Mkuu alinifurahisha aliposema nafasi za uongozi walizonazo wapemba kwenye SMZ zinawatosha, anasema walimpa kura kama 20,000 tu, ilhali alishinda kwa kura zaidi ya 220,000! Alitumia utaratibu wa uwiano wa kura kuteuwa viongozi! Pemba alipata chini ya 10%, kwa hiyo waziri+naibu mmoja wanatosha!
Kama tukitumia uwiano wa kura (kama Dr. A.A. Karume asemavyo) then kwenye Serikali ya Muungano wawepo wazanzibar wangapi? Najua kura zao kwa JK hazifiki 2%!
 
Last edited:

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,952
2,000
ktk press conference ilofanyika leo hii hapa IKULU ZANZIBAR,muheshimiwa rais wa zanzibar amesema mengi kuhusu usaniiwa cuf n.k lakini kubwa amesema kuwa ametunukiwa shahada ya heshima ya udaktari na chuo kimoja huko usa.

JF members......naomba kuanzia leo mheshimiwa rais wa zanzibar tuwe tunamuita Mheshimiwa Dr AMANI ABEID KARUME.

mmmmh duh hii kali udr. watu siku hizi wanapata kienyeji sana....
 
swaty

Member
May 20, 2008
8
0
Tumekupata freshi.
Ila huyu mh, Dr. Amani Abeid karume naona kama hajiamini sana kwani anasema hawezi kufanya mazungumzo na CUF iwapo hawatatangaza hadharani kwamba yeye ni rais halali wa Zenji. Jamani kuna mlalahoi yeyote anhitaji kupelekwa darasani kumtambua huyu jamaa kama ni raisi wa zenji??
naomba jibu JF,
 
Freetown

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
884
195
Kuitwa Dr is not an issue hapa .Tueleze usanii wa CUF ni upi ambao yeye kausema .Hili ndili kubwa linatugusa sote na si yeye kuwa doctor ahata akiwa Mganga mkuu sawa .Issue ya CUF tueleze anasemaje .

hiyo ndo point udr wake hautusaidii kitu
 
Gembe

JF-Expert Member
Sep 25, 2007
2,503
1,225
Mkuu alinifurahisha aliposema nafasi za uongozi walizonazo wapemba kwenye SMZ zinawatosha, anasema walimpa kura kama 20,000 tu, ilhali alishinda kwa kura zaidi ya 220,000! Alitumia utaratibu wa uwiano wa kura kuteuwa viongozi! Pemba alipata chini ya 10%, kwa hiyo waziri+naibu mmoja wanatosha!
Kama tukutumia uwiano wa kura (kama Dr. A.A. Karume asemavyo) then kwenye Serikali ya Muungano wawepo wazanzibar wangapi? Najua kura zao kwa JK hazifiki 2%!

Mkuu Roya Roy,

Unajua wakati mwingine Shule huwa inasadia kwa badhi ya mabo,Karume huwa anakurupuka tu,na hii imekuwa tabia sasa..au alikuwa ameweka makayoga
 
Engineer Mohamed

JF-Expert Member
Jul 27, 2007
455
0
Mkuu Roya Roy,

Unajua wakati mwingine Shule huwa inasadia kwa badhi ya mabo,Karume huwa anakurupuka tu,na hii imekuwa tabia sasa..au alikuwa ameweka makayoga

weee piga kelele tu,yule sio mwenzako tena anaitwa Mheshimiwa Dr Amani Abeid Karume.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom