% ngapi ya waliojiajiri wapo huru?Madhara ya nakuja endapo utachukua risk usiyoiweza. Sasa how Can you attend 2 masters at once alafu utegemee kutoboa.
Magufuli na u shetani wapi na wapi. Kama sio wewe na kukwepa kodi tu
Hakuna kitu rahisi ila tunaangalia kitu chenye tija kwako na kosicho kufanya ukawa huru.
Kwakweli ni suala la kupima na kuchagua!wanasemaga ajiriwa unyanyasike, jiajiri uchanganyikiwe
Unawana wanafanya business na wanaenda mpk Dubai? Sasa una subiri nini kuacha kazi? 😂 Wengine tumekuwa na kuzungukwa na waajiriwa tu.. Hatujui rangi yoyote ya kujiajiriSema kweli hiki kitu hata me kinaniwazisha sana, kwa mshahara wangu huu hata nikisema nijibane siwezi pata nauli ya kwenda Dubai na kula maisha kwa wiki. Wakati nina wana kibao walioko kwenye business zao mjini sehemu kama Dubai na China wanaingia karibu kila mwezi . Kuna siku nitafanya maamuzi magumu inshallah
Mmh sawaWasio na kazi wanatamani hata ya kuokota makopo walio na kazi hawazitaki. Moja ya kitu ambacho umekosa ni utulivu wa nafsi(peace of mind) Mwombe mtakatifu Yosefu mfanyakazi akusaidie utapata morale ya kufanya kazi
wafanyabiashara wananielewa🤣🤣🤣Hahaha kuchanganyikiwa kupi tena hebu acha kujikatia tamaa!
kabisa, pima kipi unakimudu then kazia hapohapoKwakweli ni suala la kupima na kuchagua!
We fanya kazi ili mradi unapata pesaMmh sawa
Ni mawazo pia. Ila hiyo peace of mind imebase wapi hasa? Kwenye kutaka kufanya kitu chenye utumwa ndani yake au?
fanya maamuzi sahihi🤣🤣🤣 fuata unachoamini ili usijutie lolote litakalofuataDaah Kwahiyo tufanye nini sasa mbona mnatutisha kila tukitaka kutoka?
Umeajiriwa wapi na kwenye kazi gani? Na unataka ujiajiri kwenye fani gani au biashara ipi?Daah Kwahiyo tufanye nini sasa mbona mnatutisha kila tukitaka kutoka?
Mnafanyaga kazi gani hizo?Ubaya wa hizi kazi Zina kumaliza on all levels of existence
Physically: unafanya kazi on repeat kama mashine
Mentally: inabidi sio tu uhandle kazi yenyewe pia mood swings za mwajiri wako, akiamka vibaya.
Spiritually: wanakudrain your life force energy. Ule uhuru wa kuweka vionjoo vyako haupo unakuwa haupati kitu ndani yako ufanyapo kitu, bali unafanya for the sake of money.
Yaani ndo maana Wanaotumia pharmaceutical wengi ni waajiriwa
Bora ndoto inayokunyima usingizi kuliko inayokupa amani.Na huu ndo ukweli Mchungu...
Silali usiku na mchana nafikiria namna ya kutoka kwenye huu mtego.
Yaani asubuhi ya leo niende tena kufanya jambo lile lile mpka nitakapo fika miaka 60.
Hapana kwa kweli, mimi sio mmatumbi mjinga.. I need to wake the *** up and find something worth dying for.
Ndugu zangu ambao mpo complacent na kuajiriwa hivi huwa mnajisikiaje?