Kuachwa kunauma jamani

Kuachwa kunauma jamani

Nilikuwa na mpenzi kwa muda wamiaka miwili lakini alikua aniambii ukweli.Siku moja nikaamua kumuuliza hivi nini malego yetu akajibu ninamsichana mwingine tena anarudi hivi karibuni kwahiyo tusitishe mahusiano.Naombeni ushauri wana JF

kuna wakat mambo huenda vile tusivyotaka,
 
ni nyie kwa aslimia 80 na ishiri ni ni wanawake

Bonge ya takwimu hiyo ngoja na mie niongezee takwimu, 70% ya wanawake wanaangalia status ya mwanamume kwenye jamii wakati thelathini wanaangalia sifa ya mwanamume bora mwisho wa siku 80% ya wanaume wanakuwa ni watu wa kula mzigo na kuacha (angalia kidume kikipata kazi kinavyokula mzigo ovyo aisee wakati ukiangalia file lake miaka ya nyuma hakuwa hivyo though kuna ambao kula mzigo ni kazi kama kazi zingine tangu primary mpaka uzeeni)
 
kwa hiyo kula mzigo ni sifa kama sifa zingine aiseee...
 
Kubali yaishe bidada na chukulia kama funzo maana wakati mwingine binadamu hupitishwa kwenye mahusiano kama hayo kama sehemu ya kujifunza kwamba lolote laweza kutokea kwenye mahusiano na ndio maana kabla ya kutoa tunda ulitakiwa uulize hilo swali ambalo wewe umemuuliza baada ya miaka miwili (kwa maana nyingine mahusiano yenu yalikuwa yame-base kwenye kugegedana kwanza ila in the course of kugegedana ndio ukaanza kuona umuhimu wa kumuuliza kulikoni)
 
Nilikuwa na mpenzi kwa muda wamiaka miwili lakini alikua aniambii ukweli.Siku moja nikaamua kumuuliza hivi nini malego yetu akajibu ninamsichana mwingine tena anarudi hivi karibuni kwahiyo tusitishe mahusiano.Naombeni ushauri wana JF

Unakua UKAWA MAPENZI shida ni nini
 
basi huu ni ujinga kama majinga mengine... kujaribu hisia za mwenzio

Ni kweli ujinga ila wakati mwingine anafanya utafiti anakubalikaje kwa warembo au katika wanawake 10 anaowatongoza ni wangapi wanamkubali na kutoa papuchi, ukimshitukia anajifanya alikuwa anakutania tu
 
basi kuanzia sasa nitakuwa ukitongoza nakupima akili
Hilo ndio linatakiwa sasa sio unatoa papuchi miaka 2 alafu baadae ndio unauliza "tutaendelea hivi mpaka lini", seriously mahusiano yetu wengi yapo hivi aisee yaani mtu anaimbisha akili yote ipo kwenye papuchi na kweli watu wanagegedana (kibongobongo kugegedana ndio symbol ya mapenzi yenyewe matokeo yake kuna ambao yanaendelea vizuri wapo wengi tu ila kuna wengine pia wanapigana chini nao wapo wengi tu)
 
basi sawa mwanaume akinitongoza ni kutoa nduki
 
move on mdada hawa vumbe hawana fadhila utapata mwingine atakuwa bora zaidi ya huyu..mapenzi yapo tu likifa penzi hili huzaliwa lingine...kibuti kinauma km mimi nishapgwa km mara tatu nne hivi lakin akha um happy with my life i dont give a ---- shit about men....life goes on.ila usisahau kuweka reserve next tym mumie
 
Usiwatoe nduki wengine wanakuja kwa wema pia ukigegedwa alafu ukatemwa ndio kipaji cha kufanya screening / vetting kinaongezeka (kila kitu kina faida na hasara yaani utahuzunika lakini kwa upande mwingine ujasiri unaongezeka wa kukabiliana na mabazazi)
 
move on mdada hawa vumbe hawana fadhila utapata mwingine atakuwa bora zaidi ya huyu..mapenzi yapo tu likifa penzi hili huzaliwa lingine...kibuti kinauma km mimi nishapgwa km mara tatu nne hivi lakin akha um happy with my life i dont give a ---- shit about men....life goes on.ila usisahau kuweka reserve next tym mumie
Kumbe reserve inatakiwa, ndio maana ukimtokea mrembo hakujibu kwa ukali anakuwa anakusumbua kumbe ni strategy just in case kama akizingua angalau anakuwa ana marafiki wengine wapya wa kufanya replacement
 
enh..ndo habari ya mujini lazima uweke makoloni sehemu nyngnyng just in case..si unajua anythng can happen anytime
 
Back
Top Bottom