Kuachwa kunauma jamani

Kuachwa kunauma jamani

kuachwa nijambo la kawaida, we siwakwanza kuachwa na wala hutakuwa wa mwisho!!so huna haja yakujipa stress zisizo na sababu. Mtu hata mahari haijatoewa unaanza kujidai umeumia?nyie mlikuwa sex mates tu, jipange uanze upya. utapata tu wakuweka naye malengo, and this time nivema mkadefine malengo ya uhusiano wenu mapema kuliko kusubiria last minutes. Narudia tena, kuachwa au kuacha ni jambo la kawaida, fungasha virago ukaanze maisha kwengine!! kumbuka.......PAIN IS INEVITABLE BUT SUFFERING IS OPTIONAL!!

umenena vema kibela, donatila njoo beba haya madini apa songa mbele tena huwezi kujua umeepushwa na nini huko mbeleni maana kila jambo hutokea kwa kusudi fulani so usijali mama utampata bora zaidi ya huyo cha msingi usiwe na papara chukua muda kuchambua pumba na mchele...!!
 
kuachwa nijambo la kawaida, we siwakwanza kuachwa na wala hutakuwa wa mwisho!!so huna haja yakujipa stress zisizo na sababu. Mtu hata mahari haijatoewa unaanza kujidai umeumia?nyie mlikuwa sex mates tu, jipange uanze upya. utapata tu wakuweka naye malengo, and this time nivema mkadefine malengo ya uhusiano wenu mapema kuliko kusubiria last minutes. Narudia tena, kuachwa au kuacha ni jambo la kawaida, fungasha virago ukaanze maisha kwengine!! kumbuka.......PAIN IS INEVITABLE BUT SUFFERING IS OPTIONAL!!

Ushauri mzuri sana na ashukuru Mungu kaambiwa ukweli kuliko angechezewa feelings zake.Nimependa sana huo ujumbe wa maandishi makubwa
 
Ushauri mzuri sana huu nami nimeubeba.
pole shoga ila wanawake inabidi tujielewe na tujue kujipenda kwanza sisi wenyewe. we mtu hujazaliwa nae hafu unampa moyo wako wote wa nini. siku zote mwanamke penda kwa kutumia akili sio moyo wala hutapata shida ya kuumizwa ukishafunga ndoa ndio ufungue moyo wako kwa 50% zingine baki nazo. hafu mtu anae kupenda kwa dhati utamuona tu atakuwa yupo makini kupanga mipango na ww atakushirikisha mambo yk na kadhalika.
 
Achana nae wanaume wapo wengi sana. Huyo asikuumize akili
 
Hakukupenda huyo.
Ukweli ni kwamba unapaswa kumshukuru MUNGU kuwa umeachika maana balaa lake lingekuwa kubwa zaidi kama angeendelea kuwa na wewe
 
Last edited by a moderator:
Mshukuru Mungu, then achana nae fasta! Jiondoe katika hiyo shida, ukiendelea kujifanya unalialia atakamata hiyo "weakness" akuadabishe hasa! Binadamu sasa hivi hatueleweki (si Berlin si Warsal)!
Nakumbuka niliwahi kuwa na msichana nilimpenda haswa, siku moja nimemisplace simu yangu nikaichukua yake nijibip, khaa nikashangaa jina "salon", loh mimi na salon wapi na wapi! Kimyakimya nikaanza kuscroll phonebook. Nikaona mmoja mwenye bahati yake kaseviwa "husband to be", nilichoka!!
 
ebwana eeeeh, that means salon ya kike kabisaaa,ujana na changamoto zake
 
Nilikuwa na mpenzi kwa
muda wa miaka miwili lakini alikuwa haniambii ukweli.Siku moja nikaamua
kumuuliza hivi nini malego yetu? Akajibu nina msichana mwingine tena
anarudi hivi karibuni kwahiyo tusitishe mahusiano.

Naombeni ushauri wana JF.

say thanks God yaan shukuru kakuepushia mengi na wako yupo njian. vumilia
 
It’s not the breakup that hurts the most. It’s the post trauma that follows it. give yourself time bibie n trust me utamsahau, alikua tuition wala usijipe BP.. move on dear
 
Attachments

  • 1414749210245.jpg
    1414749210245.jpg
    82.6 KB · Views: 211
hapa ni kukubali hali halisi na kuendelea na maisha yako kama ujuavyo mapenzi siku zote hayalazimishwi

Ni vyema amekwambia kweli kuliko ungeona picha za harusi facebook
 
Tena muambiee mi mwenyew nilokuwa nataka kukyambia nishachoka na wewe nipo ns nimpendae zaaid xo kama umewah kuniambia hivyo nashukulu
 
Nilikuwa na mpenzi kwa
muda wa miaka miwili lakini alikuwa haniambii ukweli.Siku moja nikaamua
kumuuliza hivi nini malego yetu? Akajibu nina msichana mwingine tena
anarudi hivi karibuni kwahiyo tusitishe mahusiano.

Naombeni ushauri wana JF.

naskiaga wanasema eti kuachwa kunauma wenda ni kweli mm sijawai kuachwa naacha mm. mungu asante sijawai kuachwa.
 
Nilikuwa na mpenzi kwa muda wa miaka miwili lakini alikuwa haniambii ukweli.Siku moja nikaamua kumuuliza hivi nini malego yetu? Akajibu nina msichana mwingine tena anarudi hivi karibuni kwahiyo tusitishe mahusiano.

Naombeni ushauri wana JF.

"A clear rejection is always better than a fake promise." ( Khantwe 2014)
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom