Kuachwa kunauma jamani

Kuachwa kunauma jamani

kubali tu yaishe ndiyo viumbe hawa .. wewe hukuona dalili za kuachwa? wala usilazimishe mwache aende tena mwache kabisa wala usijutie hata kidogo mshukuru Mungu kukuepushia ushwetwaini wa huyo mwanaume .....

kuumia itauma ila mwache nasema tena mwacheeee kula raha bibie wala usiwaze....

tena mwambie sikupendi

ushetani waujua????
 
Kuachwa au kuacha mtu uliyempenda kwa dhati inauma sana ILA sio mwisho wa maisha
shukuru Mungu huo kakwambia kuliko yule ambae anafanya visa kila siku ni pressure
Sali sana na usiruhsu maisha yako yarevolve kwa mtu mmoja
be thankful,kwa kile ulicho nacho(kila mtu ana ktu cha kuappreciate) inasaidia kuondokana na ile hali ya kujihisi kutokamilika
kaa na marafiki zako,have fun ila mambo yako usiyatoe
all the best

Kuna thread imeanzishwa huku ati kauliza kwanini wanawake walioachwa hupenda sana kusali/ kumwomba mungu
 
kwani amekwambia amengonoka? ukoje wewe?

Nilikuwa na mpenzi kwa muda wamiaka miwili lakini alikua aniambii ukweli.Siku moja nikaamua kumuuliza hivi nini malego yetu akajibu ninamsichana mwingine tena anarudi hivi karibuni kwahiyo tusitishe mahusiano.Naombeni ushauri wana JF

Kusitisha mahusiano maana yake nini?
 
Kuna thread imeanzishwa huku ati kauliza kwanini wanawake walioachwa hupenda sana kusali/ kumwomba mungu

Kwa utaratibu wa kawaida tunatakiwa kuwa karibu na Mungu muda wote(shida na raha)ila sisi wanadamu mostly tunakimbilia kwake kwenye shida zaiidi..yani shida hutufanya turudi kwa Mung
hata kwenye maisha utaona mtu anamthamni mtu ambae upo nae at bad times zaidi ya wale wa good times
swala la wanawake:nadhani mwanamke ndio muombaji zaidi hata kwenye famila ndio ile phrase ya mwanamke hujenga nymba kwa mikono yake mwenyewe
 
nilikuwa najitahidi kuficha ila siku zinavyozuidi kwenda naona unalipuka na unakuja kwa kasi kwa namna navyo yaona maovu yenu yanaongezeka

huwez epuka kimvuli chako.... wanaume tupo na tutaendelea kuwepo... wekness zetu ni kukamilisha ubinadamu tu... bado unatuhitaji mno usikate tamaa juu yetu
 
akufanye wewe
avatar36740_6.gif
Sikua nacho kidumu
 
Nilikuwa na mpenzi kwa muda wamiaka miwili lakini alikua aniambii ukweli.Siku moja nikaamua kumuuliza hivi nini malego yetu akajibu ninamsichana mwingine tena anarudi hivi karibuni kwahiyo tusitishe mahusiano.Naombeni ushauri wana JF

Nyie watu banaaa ...

Hata hapa upewe ushauri,inamaana hata ile akili tu ya kuzaliwa huna?
 
nilikuwa najitahidi kuficha ila siku zinavyozuidi kwenda naona unalipuka na unakuja kwa kasi kwa namna navyo yaona maovu yenu yanaongezeka

ULE MPANGO WA YULE BABA'KO MDOGO VIPI?
NIMEWASILIANA NA MCHIZI WANGU YUKO XWANGA
ATAKUSAIDIA
PM KWA NAMBA YA M PESA UTANGULIZE ADVANCE KAPSA MAE:A S wink:
 
Back
Top Bottom