Kuachwa kunauma jamani

Kuachwa kunauma jamani

Shukuru kakuambia ukweli kuliko angeendelea kukudanganya.Kinachotakiwa piga moyo konde maisha yaendelee ipo siku utampata wako uliopangiwa kuwa nae hayo ni mapito tu japo ni ngumu ili jikaze my dia
 
Pole best kubali kabisa kwamba ndiyo mwisho,mshukuru Mungu kwa kukuepusha na janga hilo,sasa jipende mwenyewe sana kuliko ulivyokuwa unajipenda mwanzo,kula vizuri,piga pamba za uhakika,fanya kazi kwa bidii jipe muda mzuri wa kupumzika na ukipumzika usimuwaze kabisa mawazo yakikuzidi jichanganye na watu,fanya ibada sana, Kamwe kamwe usifanye haraka ya kuwa na mpenzi mpya,Mungu akujaze amani na furaha kuu usahau machungu yote

Kesho anaweza kuja hapa kutoa ushahidi kwamba wamerudiana. Uwe makini unapotoa ushauri. Ndio maana mie huwa nasema: HAYATUHUSU. Simple as that!!
 
Kesho anaweza kuja hapa kutoa ushahidi kwamba wamerudiana. Uwe makini unapotoa ushauri. Ndio maana mie huwa nasema: HAYATUHUSU. Simple as that!!

Wakirudiana ni vyema pia tutampongeza, sisi ni Washauri tu ni juu yake kusuka au kunyoa,ila na wewe best una majibu makali sometime duh!!......
 
Shukuru kakuambia ukweli kuliko angeendelea kukudanganya.Kinachotakiwa piga moyo konde maisha yaendelee ipo siku utampata wako uliopangiwa kuwa nae hayo ni mapito tu japo ni ngumu ili jikaze my dia
Aasante
 
nilikuwa najitahidi kuficha ila siku zinavyozuidi kwenda naona unalipuka na unakuja kwa kasi kwa namna navyo yaona maovu yenu yanaongezeka

Mi nawashangaa hata wakibadilisha wanawake ni wale wale
 
Back
Top Bottom