Nilikuwa na mpenzi kwa muda wa miaka miwili lakini alikuwa haniambii ukweli.Siku moja nikaamua kumuuliza hivi nini malego yetu? Akajibu nina msichana mwingine tena anarudi hivi karibuni kwahiyo tusitishe mahusiano.
Naombeni ushauri wana JF.
Unanikumbusha siku nilipo ambiwa chagua moja utanioa mwaka huu au niruhusu watoe posa wenzio jumapili
Unanikumbusha siku nilipo ambiwa chagua moja utanioa mwaka huu au niruhusu watoe posa wenzio jumapili