Kuachwa kunauma jamani

Kuachwa kunauma jamani

Kwan uliwasiliana na Mungu ukaambiwa mwanaume ndo huyohuyo.. Acaha uchuro fanya mambo mengine au nipm nitakuhandle
 
Hahahahha hilo nalo jineno mumy, hawa viumbe hawa sawa na simu, shuruti kuiwekea screen protector
si bora liwe la mavi unajua utaenda kulitua chooni kuliko gurushi la nyuki linakugeuka muda wowote na kukuachia maumivu na sumu kali
 
Kuachana ni sehem ya maisha pia juc go ahead wit lyf
 
Njoo kwangu mtoto mzuri nikuonyeshe sababu ya wewe kuumbwa mwanamke....achana na kibwengo huyo....
 
Nilikuwa na mpenzi kwa muda wamiaka miwili lakini alikua aniambii ukweli.Siku moja nikaamua kumuuliza hivi nini malego yetu akajibu ninamsichana mwingine tena anarudi hivi karibuni kwahiyo tusitishe mahusiano.Naombeni ushauri wana JF

Achana naye huyo hajui kupenda, njoo kwangu bby gal
 
kubali 2kuachwa japo kunaitaji moyo coz ashakutamkia hana malengo na ww sepa mapema utampata ambaye atakuwa na malengo nawe daa? pole sana ndo mapenz yalivyo.
 
Back
Top Bottom