Riwa
Platinum Member
- Oct 11, 2007
- 2,607
- 3,083
Nilikuwa na mpenzi kwa muda wamiaka miwili lakini alikua aniambii ukweli.Siku moja nikaamua kumuuliza hivi nini malego yetu akajibu ninamsichana mwingine tena anarudi hivi karibuni kwahiyo tusitishe mahusiano.Naombeni ushauri wana JF
Sasa si umeuliza malengo...na ukajibiwa! Hujatuambia kama umekubaliana na malengo au la..tushauri nini?!