Nimedanganya wapi? Mpenzi wangu sijawahi kumdanganya
achana nao hawa viumbe ni balaaaa
Kwani amekuambia ameshampa kitu kitamu? Mbona hivyo.
Acha hizo wewe. Maana yake ni kuacha kutiana.kuuacha kuwa karibu
miss chaga bwana!!! hakuna lisilozungumzika, cha msingi huyo dada akae na jamaa amuulize why yule na si yeye ili ikitokea anaingia kwa mahusiano mengine asiteleze tena! hakuna mtu anayemuacha mwenzie bila sababu! mwisho nawashauri mabinti msiwe wepesi kwa wanaume kwani unapokuwa na misimamo yako huwa ina build value kwa mwanaume
Do you have one?
kubali tu yaishe ndiyo viumbe hawa .. wewe hukuona dalili za kuachwa? wala usilazimishe mwache aende tena mwache kabisa wala usijutie hata kidogo mshukuru Mungu kukuepushia ushwetwaini wa huyo mwanaume .....
kuumia itauma ila mwache nasema tena mwacheeee kula raha bibie wala usiwaze....
tena mwambie sikupendi
Amwambie hampendi wakati kiukweli anampenda,huoni atakuwa anajidanganya?
Acha hizo wewe. Maana yake ni kuacha kutiana.
Yeah.....
Aisee .....!
Kudos kwa huyo jamaa kukuambia ukweli live bila kupepesa.. that's how it should be...!
Nakumbuka miaka nikiwa kijana, niliwahi kumwambia dada mmoja hivyo..aliporomosha matusi hadi basi..!
Lakini baadae alinielewa na kuniambia nilifanya jambo jema kumwambia ukweli sababu alipata mtu na kuolewa..!
What....