Kote kote . . . . . !!!

CPU

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
3,863
686
Habari za asubuhi wapendwa (Kwa wale ambao majira ya sasa ni asubuhi)
Habari za mchana na jioni au usiku (kwa wale wenye majira tofauti)
Natumain, mko salama salimini na mmeanza majukumu ya kazi baada ya weekend vurururu (aka Fiesta)

Sasa nianze mada husika. Hivi inakuaje unatongozwa na mtu, na anakwambia anataka kuwa na wewe, lakini pia anakueleza " . . .nina mke/girlfriend/bf/mume . . . ." halafu wewe unakubali kuwa nae kwasababu kuna kitu unataka kwake (may be kuburudika tu) halafu na wewe una mpenzi wako mwingine hutaki awe na muhusiano na mtu mwingine zaidi yako ???
 
theoretically cpu utaweza sema its wrong ila practically sisi ni wa binafsi unaweza kuta na mtu mnamatch ajabu unaamua tu kufaido nje roho inauma ila utamu umezidi conciosness ,only prayers zitakusaidia
 
Habari za asubuhi wapendwa (Kwa wale ambao majira ya sasa ni asubuhi)
Habari za mchana na jioni au usiku (kwa wale wenye majira tofauti)
Natumain, mko salama salimini na mmeanza majukumu ya kazi baada ya weekend vurururu (aka Fiesta)

Sasa nianze mada husika. Hivi inakuaje unatongozwa na mtu, na anakwambia anataka kuwa na wewe, lakini pia anakueleza " . . .nina mke/girlfriend/bf/mume . . . ." halafu wewe unakubali kuwa nae kwasababu kuna kitu unataka kwake (may be kuburudika tu) halafu na wewe una mpenzi wako mwingine hutaki awe na muhusiano na mtu mwingine zaidi yako ???

human being is selfish in nature.
 
it depends to whom you are starting new relation, may be rich, so the aim will be money.
Also kutaka kuosha na unaemkubalia kuanzisha nae mahusiano, eg binti wa kawaida kabisa kutokewa na mbunge, msanii mkubwa etc
 
habari za asubuhi wapendwa (kwa wale ambao majira ya sasa ni asubuhi)
habari za mchana na jioni au usiku (kwa wale wenye majira tofauti)
natumain, mko salama salimini na mmeanza majukumu ya kazi baada ya weekend vurururu (aka fiesta)

sasa nianze mada husika. Hivi inakuaje unatongozwa na mtu, na anakwambia anataka kuwa na wewe, lakini pia anakueleza " . . .nina mke/girlfriend/bf/mume . . . ." halafu wewe unakubali kuwa nae kwasababu kuna kitu unataka kwake (may be kuburudika tu) halafu na wewe una mpenzi wako mwingine hutaki awe na muhusiano na mtu mwingine zaidi yako ???
haya ni maswala personal mwingine ni hulka yake tu hajatulia maana una mke/mpnzi yaani upo kwenye mahusiano unaanzisha mahusiano mengine ya nini? Hapo ni ujatulia tu una cha zaidi unachotaka.
 
Kila mtu ana matakwa yake ambayo yanamtuma kufanya kitu fulani sidhani kama huyo mtu baadae anaweza kuja kusema kwamba he/she didn't know alichokuwa anakifanya, anakuwa anakifanya kutokana na kuwa akili yake imemtuma kufanya kitu fulani na amedhamiria kufanya so it's just a matter of making his/her own decision for his/her own sake na kwa matarajio kwamba atapata kitu fulani.
 
Labda kutokujitambua nako kunachangia hii hali...!
Hivi TANMO mfano mtu anakuja kuomba uhusiano na mtu mwingine halafu anasema kabisa kwamba yeye ni mume/mke wa mtu halafu mtu anakubali kuingia kwenye mahusiano na mtu wa namna hii sasa hapo kweli utasema kwamba huko ni kutokujitambua???
 
Kotekote muhimu. kwa nini kungangania sehemu moja?. kwanza huduma nje ni bab kubwa kuliko hawa wa ndani walioridhika tu kuwa na wewe.
 
na yeye mwenzi wako ujue anasema hivyo hivyo! kuwa ww huna lolote, huko nje ndo anafurahi! ishakuwa vicious cycle hii bestee!

Kotekote muhimu. kwa nini kungangania sehemu moja?. kwanza huduma nje ni bab kubwa kuliko hawa wa ndani walioridhika tu kuwa na wewe.
<br />
<br />
 
just out of curiosity sipiyuu, ulishawahi kufikiria nawaza nini mtu anayetongoza mke wa mtu ama mume wa mtu? manake unaongelea 'kutongozwa'. mie sina tatizo na kutongozwa, ina najali zaidi reaction yangu kwa matongozo hayo!
niseme tu watu huingia kwa mahusiano kwa sababu mbalimbali na wengine kwa ajili ya kujikimu!
Hivi inakuaje unatongozwa na mtu, na anakwambia anataka kuwa na wewe, lakini pia anakueleza &quot; . . .nina mke/girlfriend/bf/mume . . . .&quot; halafu wewe unakubali kuwa nae kwasababu kuna kitu unataka kwake (may be kuburudika tu) halafu na wewe una mpenzi wako mwingine hutaki awe na muhusiano na mtu mwingine zaidi yako ???
<br />
<br />
 
Zamani nilikuwa nikitongozwa na mke wa mtu nilikuwa nashangaa sana! Nimekuja kugundua ni vitu vya kawaida tu na maisha lazima yaendelee!
 
Back
Top Bottom