Kote kote . . . . . !!!

kwa kweli hili jambo haliwezi kuelezwa kwa mtazamo mmoja, kuna mambo mengi sana yanayopelekea hali hii kutokea, ya hitaji muda wa kueleza, tena ni darasa haswa...!

LAKINI YOTE KWA YOTE NI MAMBO YA LOVE................!!!!!!!!!!!!!

Shagikuku hii rangi bana uliyoandikia duh noma sana naona nyota nyota na hata kama una ujumbe mzuri wote unakuwa wa ovyo
 
Back
Top Bottom