kongosho......

kongosho......

na wee siku hizi mbona unadunda dunda kama kitenesi?

Unahitaji kutulizwa weye.

Dawa yako ishaipuliwa jikoni.

Aisee wajameni mkimwona Kongosho mwambieni ole wake akichomoa mimba nlomgea.....

Ntambadili jinsia wallah!
 
Aisee wajameni mkimwona Kongosho mwambieni ole wake akichomoa mimba nlomgea.....

Ntambadili jinsia wallah!

Ishakula kwako mkuu,nenda mmu,konnie kafungua uzi huko wa kuomba toba,pole ndugu yangu,huyo ndo konnie bana wengine fotokopi.
 
Maskini kloro,cha kufia nini,jimuvuzishe uje simba kapakatwa bar tupate ulabu tuangalie mechi ya chelsi.
Bora uwe naye karibu! Maana anaweza kuharibikiwa saa yoyote.
Na wewe ni chelsik? Naona tayari kijana Cisse keshafanya mambo!
 
Last edited by a moderator:
Hivi wewe klorokwini unataka nikushushe mshipa eeh! Endelea tu kumfuata fuata mke wangu Cantalisia uone nitakachokufanya!
Mkuu kuna mod itakuwa anachakachua post zetu ili atugombanishe, mimi sipo gesti nipo polisi apa namchukulia zamana ze finest kachkua baskeli ya jamaa hakurejesha.

Halaf hapa modrich ashaweka mambo sawa spurs 1 wazembe 0
 
Back
Top Bottom