kongosho......

kongosho......

Shhiiì... Dont disturb. Nimekaa na mrembo hapa Highway Korogwe natengeneza dili la kunyakua contacts zake. Huyu lazima atakuwa muiraqw. Ukishasoma hii post nistue niidiliti kabla wajukuu hawajaisoma...
Shikamoo Babu Asprin!
 
Last edited by a moderator:
Haahahaaaa siku ya kwanza kufika wakanambia "Karibu Ntwara" lol nkajua wanaongea kimzaha...si nikashangaa na mwingine kaibuka "Huku hata nke utampata"
Hahahah hahhaha hahahah Erickb52 omba mungu wenyewe wasipite humu maana.............!
 
Last edited by a moderator:
Hujagundua huna sehemu zako?

Shhiiì... Dont disturb. Nimekaa na mrembo hapa Highway Korogwe natengeneza dili la kunyakua contacts zake. Huyu lazima atakuwa muiraqw. Ukishasoma hii post nistue niidiliti kabla wajukuu hawajaisoma...
 
Shhiiì... Dont disturb. Nimekaa na mrembo hapa Highway Korogwe natengeneza dili la kunyakua contacts zake. Huyu lazima atakuwa muiraqw. Ukishasoma hii post nistue niidiliti kabla wajukuu hawajaisoma...

Mhmmmmmmm!
 
Rejao wangu muelewa na ananiamin,
Ila ndio umhakikishie km kweli hujipangi kurusha za kishem shem!
Kwan Amyner yuko wapi?
canta,amini amini nakuambia,rejao ukimpa gunia la hela dar to mwanza atafikisha,lakini mwanamke? lol ,umeliwa hapo,kalaghabao,shem shem shem,haya....
 
AAAAA wewe Kongosho wewe!! Umeona gazeti la risasi limeandika nini leo juu??
 
Back
Top Bottom