Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,559
- 11,496
Hahahahaaaa najaribu kumfikiria ila network haisomiUnajitia humjui?
Hahahahaaaa najaribu kumfikiria ila network haisomiUnajitia humjui?
Hahahahaahahaaaaa amaerudiiiii ila topic ianzishe tena utaona kapoteaKuna kitu kinaniambia hatarudi leo!
Ha ha haa... Kwani nawe ulikuwa Tanga?!
Vipi swaga za "Bayi Koko" .... Hukuwahi kuhudhuria Konnie wangu?!
Hahahahahahaaaaaa hapo umenena Kongosho kazi ihamie rasmi kwa Bishanga mi najitoa hahahahaaaaahe he he, wala usikonde.
Nikikula wewe ni stater tu na si main course, nikikuhurumia unakuwa desert.
Acha nile bepari kwa main course.
Hahahaa mwache wife anilinde bhanaNdo hapo mnapokosea, kujidai mwajua kuliko wakufunzi.
Wanapenda kitu tait na si kunukia, kalagha baho.
Yaani na hivi nina mkia wa tausi nilikiwa natikisika tu taratiiibu.
Hahahaa mwache wife anilinde bhana
Jamani Konnie ni HeShe... Au mmesahau?!
Hahahahaahahaaaaa amaerudiiiii ila topic ianzishe tena utaona kapotea
sio SheHe?
Maana main kozi ni she afu starter na desert ni He.
Unachezea sumaku weye, utanasa?!!