klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,147
hehehe Erickb52 bana, wewe si ndio jana mchana ulikuwa unamwambia Cantalisia wewe bila yeye ni sawa na e mail bila pasword? Ukibisha naleta ushahidi wa sredi, bora uchune tuHahahahahaaa Rejao mi nimekulindia shemeji sana hadi nimechoka.....Huyu klorokwini na Bishanga ndio wabaya wako ila hawajafanikiwa kufanya uharibifu wowote kwa shem Cantalisia
Last edited by a moderator: